Mafarisayo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 49 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q26403 (translate me)
No edit summary
Mstari 2:
'''Mafarisayo''' waliunda [[madhehebu]] mojawapo ya [[Uyahudi]] ambayo wakati wa [[Yesu Kristo]] iliweza kufikia 5% ya Wayahudi wote, lakini ilikuwa na athari kubwa katika jamii yao, kutokana na sifa ya kuwa wanadini hasa. Jina lenyewe lina maana ya '''waliojitenga''' (na wakosefu) ili kushika kiaminifu masharti yote ya [[Torati]] ya [[Musa]].
 
Mafarisayo wanajulikana hasa kutokana na [[Injili]] ambazo zinawataja kwa kawaida kama wapinzani wa [[Yesu]], ingawa yeye alikuwa anakubaliana nao katika mafundisho mengi ya imani tofauti na yale ya [[Masadukayo]], madhehebudhehebu nyinginejingine kubwa iliyokuwalililokuwa na wafuasi hasa kati ya ma[[kuhani]].
 
Mafarisayo walianza mwishoni mwa [[karne ya 2 K.K.]] na kuendelea kustawi hadi mwaka [[70]] [[B.K. ]], ambapo [[Yerusalemu]] iliteketezwa na [[Warumi]]. Maangamizi ya [[Hekalu la Yerusalemu|hekalu]] yalivunja nguvu ya Masadukayo na kuwaachia Mafarisayo uongozi wa [[dini]] yao.