Mafarisayo : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 4:
Mafarisayo wanajulikana hasa kutokana na [[Injili]] ambazo zinawataja kwa kawaida kama wapinzani wa [[Yesu]], ingawa yeye alikuwa anakubaliana nao katika mafundisho mengi ya imani tofauti na yale ya [[Masadukayo]], dhehebu jingine kubwa lililokuwa na wafuasi hasa kati ya ma[[kuhani]].
Mafarisayo walianza mwishoni mwa [[karne ya 2 K.K.]] na kuendelea kustawi hadi mwaka [[70]] [[B.K.
[[Jamii:Uyahudi]]
|