Ulaya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 5:
[[Picha:Grossgliederung Europas.png|thumb|300px|Kanda za Ulaya]]
[[Picha:First.Crusade.Map.jpg|thumb|300px|Ulaya mwaka 1000 hivi]]
'''Ulaya''' (asili ya jina ni neno la [[Kiarabu]] ولاية, ''wilaayatun''<ref>Hivyo asili ya neno "Ulaya" ni sawa na "wilaya"; Krapf 1882 Swahili-English dictionary anaeleza: ""ULAYA (WALAYA au WILAYAya) ... mother-country in contradistinction to colonies, foreign possessions or parts"; Sacleux 1939 Dictionnaire Swahili-Francais anataja kama etimolojia ya Ulaya "Ar. Hind. ولاية wilaya, pays etranger" (=nchi ya kigeni) </ref>; inaitwa pia '''Uropa''') ni [[bara]] lenye eneo la [[km²]] 10,600,000 tu, lakini wakazi ni [[milioni]] 700.
 
Wengi wenye asili ya Ulaya wakati wa [[ukoloni]] walitawanyika [[duniani]], hasa [[Amerika]], wakiathiri kote upande wa [[lugha]], [[utamaduni]] na [[dini]].