Mpira wa miguu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Masahihisho aliyefanya 142.227.239.229 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Riccardo Riccioni
Tag: Rollback
Mstari 61:
== Shirikisho la Kandanda Duniani ==
<ref>Kuhusu FIFA, www.fifa.com [http://www.fifa.com/aboutfifa/index.html]</ref>
[[Shirikisho la Soka Duniana]] ([[FIFA]]) ndilo shirikisho kuu linalosimamia kandanda duniani. Wanachama wake ni mashirikisho ya kandanda ya nchi mbalimbali. Kufikia mwaka wa 2000, lilikuwa na wanachama 204 kutoka pembe zote za dunia. Shirikisho hili huandaa mashindano mbalimbali ya soka kama vile [[Kombe la Dunia la FIFA]] na pia huwatunuku wachezaji.
 
== Orodha ya Wachezaji Maarufu Duniani ==