Penalti : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 4:
Penati ni nafasi ya mchezaji mmoja kupiga mpira kwa goli ya wapinzani kutoka nukta iliyopo mita 11 mbele ya goli. Hapa hawezi kushambuliwa au kuzuiliwa na mchezaji mwingine.
Nafasi hii inatolewa kama mchezaji wa timu inayotetea goli yake anafanya kosa katika eneo la penalti ambalo ni eneo karibu na goli (kwa mpira wa mguu umbali wa mita 16.5). Penalti mara nyingi inaleta goli kwa hiyo inaweza kuamulia matokeo ya mchezo. Hapo kupata penalti ni kama adhabu kwa
Kusudi lake ni kuzuia matumizi ya mbinu zisizo halali katika eneo muhimu karibu na goli.
|