Penalti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Riccardo Riccioni moved page Penati to Penalti over redirect: usahihi wa tahajia
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:WorldCup1994BulgariaGermany.jpg|300px|thumb|Lothar Matthäus (Ujerumani) akipiga penati katika mchezo dhidi Bulgaria wakati wa Kombe la Dunia 1984]]
'''Penati''' , pia '''penaltiPenalti''' (kutoka [[ing.Kiingereza]] ''penalty'') ni [[istilahi]] ya [[lugha]] ya [[michezo]], hasa [[mpira wa miguu]], [[mpira wa kikapu]], [[mpira wa pete]] n.k. .
 
==Katika soka==
PenatiKatika [[soka]], penalti ni nafasi ya [[mchezaji]] mmoja kupiga [[mpira]] kwa goli[[lango]] yala wapinzani kutoka nukta iliyopo [[mita]] 11 mbele ya goli. Hapa hawezi kushambuliwa au kuzuiliwa na mchezaji mwingine.
 
Nafasi hii inatolewa kama mchezaji wa [[timu]] inayotetea goli yakelake anafanya kosa katika [[eneo la penalti]] ambalo ni eneo karibu na goli (kwa mpira wa mguu [[umbali]] wa mita 16.5). Penalti mara nyingi inaleta goli, kwa hiyo inaweza kuamulia matokeo ya mchezo. Hapo kupata penalti ni kama [[adhabu]] kwa timu iliyotetea goli yakelake kwa kukosea [[kanuni]] za michezo.
 
Kusudi lake ni kuzuia matumizi ya [[mbinu]] zisizo halali katika eneo muhimu karibu na goli.
 
Kwenye mashindano makubwa ya soka penatipenalti inatumiwa pia kama njia ya kumpata mshindi kama mchezo unaishia kwa [[sare]] (droo). Hapa kila timu inapewa nafasi 5 za kupiga mpira kutoka nukta ya penatipenalti yaani kwa umbali wa mita 11. Kama tokeo ni sare tena yote hurudiwa hadi timu moja iko mbele na hivyo kuwa mshindi.
 
{{mbegu}}
 
{{mbegu-michezo}}
 
[[Jamii:Michezo]]
[[Jamii:Mpira wa Miguu]]