Tofauti kati ya marekesbisho "Ulaya"

98 bytes removed ,  miaka 2 iliyopita
 
==Tanbihi==
<small>1. Kanda zinazotajwa (Ulaya ya Kusini – magharibi n.k.) zinafuata utaratibu wa Umoja wa Mataifa [[:Image:United Nations geographical subregions.png|UN categorisations/map]]. Nchi kadhaa zinazotajwa hapo chini zinaweza kuhesabiwa kuwa sehemu ya Ulaya na pia bara nyingine ([[Asia]], [[Africa]], au [[Oceania]]). Hii inategemea na namna ya kugawa kontinenti; pia wakazi wenyewe wanaweza kujielewa tofauti na majirani yao.
<br />
<small>1. Kanda zinazotajwa (Ulaya ya Kusini – magharibi n.k.) zinafuata utaratibu wa Umoja wa Mataifa [[:Image:United Nations geographical subregions.png|UN categorisations/map]]. Nchi kadhaa zinazotajwa hapo chini zinaweza kuhesabiwa kuwa sehemu ya Ulaya na pia bara nyingine ([[Asia]], [[Africa]], au [[Oceania]]). Hii inategemea na namna ya kugawa kontinenti; pia wakazi wenyewe wanaweza kujielewa tofauti na majirani yao.
 
<small>2. [[Urusi]] ni nchi ya kontinenti mbili za Ulaya ya Mashariki na Asia; namba za wakazi na za eneo zimetasjwa kwa ajili ya sehemu ya Kiulaya pekee.
 
<small>3–5. [[Guernsey]], [[Kisiwa cha Man]], and [[Jersey]] ni maeneo ya kujitegema chini ya Taji la Ufalme wa Uingereza.
 
<small>6. Namba za [[Ureno]] hazijumlishi [[Visiwa vya Madeira]], ambazo ni sehemu ya Ureno magharibi ya [[Marokko]] katika [[Afrika]].
 
<small>7. Namba za [[Hispania]] hazijumlishi [[Visiwa vya Kanari]] magharibi ya Marokko katika [[Afrika]], wa maeneo ya [[Ceuta]] na [[Melilla]] ambayo ni sehemu za Hispania kwenye pwani la Marokko, Afrika ya Kaskazini.
 
<small>8. Namba za [[Ufaransa]] hazijumlishi maeneo yake yaliyopo Amerika ya Kati au Kusini, Bahari Hindi au Oceania.
 
<small>9. [[Uholanzi]]: Idadi ya wakazi ni ya 2004; [[Amsterdam]] ni Mji Mkuu lakini [[Den Haag]] ni makao makuuy a serikali.
 
<small>10. [[Armenia]] huhesabiwa mara nyingi kuwa [[nchi ya kimabara]] katika Asia ya Magharibi ([[:Image:United Nations geographical subregions.png|kufuatana na kanda za UM]]) na Ulaya ya Mashariki
 
<small>11. [[Azerbaijan]] huhesabiwa mara nyingi kuwa [[nchi ya kimabara]] katika Asia ya Magharibi ([[:Image:United Nations geographical subregions.png|kufuatana na kanda za UM]]) na Ulaya ya Mashariki; idadi ya wakazi na eneo zimetajwa za sehemu ya Ulaya pekee.
 
<small>12. [[Kupro]] huhesabiwa mara nyingi kuwa [[nchi ya kimabara]] katika Asia ya Magharibi ([[:Image:United Nations geographical subregions.png|kufuatana na kanda za UM]]) na Ulaya ya Kusini; idadi ya wakazi na eneo zimetajwa za sehemu zisozo chini ya Dola ya Kituruki ya Cyprus.
 
<small>13. [[Georgia (nchi)|Georgia]] huhesabiwa mara nyingi kuwa [[nchi ya kimabara]] katika Asia ya Magharibi ([[:Image:United Nations geographical subregions.png|kufuatana na kanda za UM]]) na Ulaya ya Mashariki; idadi ya wakazi na eneo zimetajwa za sehemu ya Ulaya pekee.
 
<small>14. [[Uturuki]] ni [[nchi ya kimabara]] katika Asia ya Magharibi ([[:Image:United Nations geographical subregions.png|kufuatana na kanda za UM]]) na Ulaya ya Kusini; namba zinazotajwa zinahusiana na sehemu ndogo ya Magharibi pakee iliyomo Ulaya hasa jimbo lote la [[Istanbul]].
 
<small>15. [[Kazakhstan]] huhesabiwa mara nyingi kuwa [[nchi ya kimabara]] katika Asia ya Magharibi ([[:Image:United Nations geographical subregions.png|kufuatana na kanda za UM]]) na Ulaya ya Mashariki; idadi ya wakazi na eneo zimetajwa za sehemu ya Ulaya pekee.
 
== Tazama pia ==