Tofauti kati ya marekesbisho "Ulaya"

No change in size ,  miaka 2 iliyopita
no edit summary
 
==Tanbihi==
1. Kanda zinazotajwa (Ulaya ya Kusini – magharibi n.k.) zinafuata utaratibu wa Umoja wa Mataifa [[:Image:United Nations geographical subregions.png|UN categorisations/map]]. Nchi kadhaa zinazotajwa hapo chini zinaweza kuhesabiwa kuwa sehemu ya Ulaya na pia bara nyingine ([[Asia]], [[AfricaAfrika]], au [[Oceania]]). Hii inategemea na namna ya kugawa kontinenti; pia wakazi wenyewe wanaweza kujielewa tofauti na majirani yao.
 
2. [[Urusi]] ni nchi ya kontinenti mbili za Ulaya ya Mashariki na Asia; namba za wakazi na za eneo zimetasjwa kwa ajili ya sehemu ya Kiulaya pekee.
 
3–5. [[Guernsey]], [[Kisiwa cha Man]], and [[Jersey]] ni maeneo ya kujitegemakujitegemea chini ya Taji la Ufalme wa Uingereza.
 
6. Namba za [[Ureno]] hazijumlishi [[Visiwa vya Madeira]], ambazo ni sehemu ya Ureno magharibi ya [[Marokko]] katika [[Afrika]].
 
7. Namba za [[Hispania]] hazijumlishi [[Visiwa vya Kanari]] magharibi ya Marokko katika [[Afrika]], wa maeneo ya [[Ceuta]] na [[Melilla]] ambayo ni sehemu za Hispania kwenye pwani laya MarokkoMoroko, Afrika ya Kaskazini.
 
8. Namba za [[Ufaransa]] hazijumlishi maeneo yake yaliyopo Amerika ya Kati au Kusini, Bahari Hindi au Oceania.
{{Lango|Ulaya}}
 
==TanbihiMarejeo==
<references/>