Ajira : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Ajira''' (kutoka [[neno]] la [[Kiarabu]]) ni [[kazi]] itolewayo au ifanywayo kwa [[malipo]] katika [[kampuni]], [[ofisi]] za [[serikali]] au kwa [[mtu]] binafsi.
 
== Aina za ajira ==
Kuna aina kadhaa za ajira ikiwemo:
* Ajira ya kudumu - ''(Permanent Employment)'' ni ajira ambayo mwajiriwa hana woga wa kuachichwa au kuacha kazi ilatu anapo[[pigwa kalamu]] kwa sababu ya makosa yake, afikishapo miaka ya [[kustaafu]] au kuacha kazi kwa hiali yake. Wajiriwa wa kudumu hufuata [[ratiba fulani]] na wanaweza kuwa wafanyakazi wa mchana kutwa ''(full time employment)'' au wa masaa machache ''(part-time employee).''<ref>{{Cite web|url=https://www.smallbusiness.wa.gov.au/business-advice/employing-staff/types-of-employment|title=Types of employment {{!}} Small Business|author=Small Business Development Corporation|language=en|work=Small Business Development Corporation website|accessdate=2018-07-18}}</ref>
* Ajira ya [[mkataba]] - ''(contract employment)'' hii ni ajria ambayo mwajiriwa huajiliwa kufanya kazi fulani au kwa muda fulani na mda wake au kazi yake ishapo mkataba wake na mwajiri unaisha. Mwajiriwa wa mkataba hukuwa na uhakika hawezi achichwa kazi kabla kadarasi yake iishe ilatu afanye makosa yasiyo weza kuvumiliwa. Pia yeye hawezi acha ile kazi kwa hiali bila kugharamia hasara yote inayoweza kutokana na kuvuja ile kadarasi.
* Ajira ya mda - ''(temporary employment)''<ref>{{Cite web|url=https://getvested.io/temp-agency/|title=Vested Technology - Temp Staffing Solutions|language=en-US|work=Vested Technology|accessdate=2018-07-18}}</ref> ni ajira ambayo mtu anafuata ratiba ya wafanyakazi wa kudumu lakini anaeza achichwa kazi wakati wowote. Mwajiriwa hana usarama wa kazi. Kibarua ni mfano wa jira ya mda. Kibarua ni ajira isiyo ya mara kwa mara na mtu huajiriwa tu kazi ipatikanapo na kazi ikiisha anaenda zake bila kujua kazi ingine itapatikana lini.
* Ajira ya kibinafsi - ''(sefl employment)'' hi ni ajira ambayo mtu hujiajiri yeye mwenyewe kama vile wafanya biashara
 
== Marejereo ==
{{marejeo}}
 
 
{{mbegu-uchumi}}