Ajira : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
 
== Aina za ajira ==
Kuna aina kadhaa za ajira ikiwemozikiwemo:
* Ajira ya kudumu - ''(Permanentpermanent Employmentemployment)'' ni ajira ambayo mwajiriwa hana woga wa kuachichwakuachishwa au kuacha kazi ilatuila tu anapo[[pigwa kalamu]] kwa sababu ya makosa yake, afikishapo miaka ya [[kustaafu]] au kuacha kazi kwa hiali[[hiari]] yake. WajiriwaWaajiriwa wa kudumu hufuata [[ratiba fulani]] fulani na wanaweza kuwa [[wafanyakazi]] wa [[mchana]] kutwa ''(full time employment)'' au wa masaa machache ''(part-time employee).''<ref>{{Cite web|url=https://www.smallbusiness.wa.gov.au/business-advice/employing-staff/types-of-employment|title=Types of employment {{!}} Small Business|author=Small Business Development Corporation|language=en|work=Small Business Development Corporation website|accessdate=2018-07-18}}</ref>
* Ajira ya [[mkataba]] - ''(contract employment)'' hii ni ajriaajira ambayo mwajiriwa huajiliwahuajiriwa kufanya kazi fulani au kwa muda fulani na mdamuda wake au kazi yake ishapo mkataba wake na mwajiri unaisha. Mwajiriwa wa mkataba hukuwahukwa na uhakika, hawezi achichwakuachishwa kazi kabla kadarasi yake iishe, ila ilatutu afanye makosa yasiyo weza kuvumiliwa. Pia yeye hawezi acha ile kazi kwa hiali bila kugharamia hasara yote inayoweza kutokana na kuvuja ile kadarasi.
* Ajira ya mdamuda - ''(temporary employment)''<ref>{{Cite web|url=https://getvested.io/temp-agency/|title=Vested Technology - Temp Staffing Solutions|language=en-US|work=Vested Technology|accessdate=2018-07-18}}</ref> ni ajira ambayo mtu anafuata ratiba ya wafanyakazi wa kudumu lakini anaezaanaweza achichwaakaachishwa kazi wakati wowote. Mwajiriwa hana usaramausalama wa kazi. [[Kibarua]] ni mfano wa jiraajira ya mda. Kibarua muda; ni ajira isiyo ya mara kwa mara na mtu huajiriwa tu kazi ipatikanapo na kazi ikiisha anaenda zake bila kujua kazi inginenyingine itapatikana lini.
* Ajira ya kibinafsibinafsi - ''(seflself employment)'' hi ni ajira ambayo mtu hujiajiri yeye mwenyewe kama vile wafanya biashara[[wafanyabiashara]].
 
== MarejereoMarejeo ==
{{marejeo}}
 
 
{{mbegu-uchumi}}
 
[[Jamii:Uchumi]]
[[Jamii:Kazi]]