Boeing : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
boeing x-37
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Britair.b737-400.g-docp.arp.jpg|thumb|[[Boeing 737]]]]
[[File:Boeing Everett Plant.jpg|thumb|right|Kiwanda kikubwa cha Boeing mjini [[Everett, Washington]] katika Marekani.]]
'''Boeing''' ni [[kampuni]] nchini [[Marekani]] ya kutengeneza [[eropleni]], [[helikopta]], [[roketi]] na [[vifaa]] vingine kwa matumizi ya kiraia na ya kijeshi kwa [[usafiri]] wa [[Hewa|hewani]] na kwenye [[anga la nje]]. Ni kampuni kubwa [[duniani]] ya aina hii; katika utengenezaji wa [[Ndege (uanahewa)|ndege]] za [[abiria]] pekee ina nafasi ya pili baada ya [[Airbus]] ya [[Ulaya]].
 
[[Makao makuu]] ya kampuni yalikuwepo [[Seattle, Washington]] lakini tangu [[2001]] yalihamishwa kwenda [[Chicago]].
 
[[File:Boeing Everett Plant.jpg|thumb|right|Kiwanda kikubwa cha Boeing mjini [[Everett, Washington]] katika Marekani.]]
Modeli za Boeing zinazojulikana sana ni pamoja na
* [[Boeing 707]] ((haitengenezwi tena))
Mstari 18:
* Boeing [[F-15 Eagle]]
* Boeing [[KC-135 Stratotanker]]
* [[Boeing X-37]][ (inajulikana kama orbital test vehicle}) imezinduliwa tarehe 22/4/ Aprili 2010.
 
== Tanbihi ==
== References ==
{{Reflist}}
 
{{Boeing airliners}}
 
[[Category:Kampuni ya kutengeneza ndege‎]]