Airbus : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Tengua pitio 916457 lililoandikwa na 84.156.56.40 (Majadiliano)
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:SIA Airbus A380, 9V-SKA, SIN 5.jpg|thumb|Airbus 380 ni ndege kubwa ya abiria duniani na ilianza kutumiwa na Singapore Airlines]]
[[File:13-08-07 - Airbus A330 - hongkong airport.jpg|thumb|A 330-200 [[Air Seychelles]] 2013]]
'''Airbus''' SAS ni [[kampuni]] kubwa ya kutengeneza [[eropleni]] katika [[Ulaya]] na moja ya makampuni makubwa [[duniani]] katika [[fani]] hii.
 
Kwa jumla imeajiri [[watu]] 50,000 katika nchi mbalimbali na hasa katika [[viwanda]] vyake huko [[Ufaransa]], [[Ujerumani]], [[Uingereza]] na [[Hispania]].
 
Tangu mwaka [[2001]] [[Airbus]] imekuwa kampuni inayotengeneza [[Ndege (uanahewa)|ndege]] za kusafirisha [[abiria]] nyingi duniani. Ni hasa aina mbalimbali za ndege za kusafirisha abiria kama vile [[Airbus 300]], [[Airbus 310]] au [[Airbus 320]]. Tangu mwaka [[2007]] [[Airbus 380]] ni ndege kubwa kabisa ya kubeba abiria duniani.
 
==Historia==