Kenya African National Union : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 10:
Katika uchguzi za 1992 na 1997 KANU ilifaulu kurudi kama chama kikubwa kwa sababu wapinzani wake walikosa umoja na kura za upinzani zilitawanyika kwa vyama mbalimbali kama vile [[Democratic Party of Kenya]], [[Ford-Kenya]], [[Ford-Asili]] na [[National Development Party of Kenya]].
 
2001 Moi alipatana ushirikiano na [[Raila Odinga]] wa NDP aliyejiunga na serikali ya Moi kwanza kama waziri. Baadaye NDP ilijiunga na KANU na jina la chama cha pamoja likawa KANU Mpya (New KANU). Odinga akawa Katibu Mkuu.
==Farakano la 2002 na upinzani==