Tofauti kati ya marekesbisho "Biashara"

1,950 bytes removed ,  miaka 3 iliyopita
no edit summary
'''Biashara''' (piakutoka [[neno]] '''kampuni''') nila [[shirikaKiarabu]]) linalotambuliwani shughuli kisheriaau ambalomchakato limeundwawa kwakununua ajili ya kuunda auna kuuza [[bidhaamali]] na / au [[hudumaKitu|vitu]]. Inaweza kufanywa na mtu binafsi au kwa [[wateja]]ushirikiano s.<ref>{{Citeau bookna jamii kwa jumla.
| last = Sullivan
| first = arthur
| authorlink = Arthur O' Sullivan
| coauthors = Steven M. Sheffrin
| title = Economics: Principles in action
| publisher = Pearson Prentice Hall
| date = 2003
| location = Upper Saddle River, New Jersey 07458
| pages = 29
| url = http://www.pearsonschool.com/index.cfm?locator=PSZ3R9&PMDbSiteId=2781&PMDbSolutionId=6724&PMDbCategoryId=&PMDbProgramId=12881&level=4
| doi =
| id =
| isbn = 0-13-063085-3}}</ref> Biashara zinapatikana sana katika [[uchumi wa kibepari,]] nyingi zikiwa zinamilikiwa na mtu binafsi kwa ajili ya kupata faida ambayo itaongeza [[mali]] ya wamiliki wake na kuikuza biashara yenyewe. Wamiliki na wahudumu wa biashara huwa na lengo mojawapo kuu kama kupata mapato ya kifedha kutokana na kazi wanayoifanya napia kwa sababu ya kukubali kujiingiza kwenye hatari ya kufanya biashara. Baadhi ya kampuni ambazo malengo yake siyo kama yale yaliyosemwa hapo juu ni kama [[vyama vya ushirika]] na [[kampuni zinazomilikiwa na serikali]] s. Biashara pia inaweza kuanzishwa bilakusudi la [[kupata faida]] au [[biashara inayomilikiwa na serikali]].
 
==Umiliki wa Biashara==
[[Jina]] "biashara" inahusiana na hali ya kuwa na shughuli ya kufanya aidha kama mtu binafsi au jamii kwa ujumla, kazi ambayo ina uasaidizi kiuchumi na kibiashara. Neno "biashara" ina takribani Matumizi matatu, kutegemea na upeo - matumizi kwa umoja (juu) kwa maana ya [[kampuni]] fulani au [[shirika]], matumizi ya upana kurejelea [[sekta ya soko]] fulani, kama vile "biashara ya muziki" au maana pana zaidi kujumuisha shughuli zote katika jamii ya wauzaji wa bidhaa na huduma. Hata hivyo,ufafanuzi wa biashara, kama kiasi kingine katika [[falsafa ya biashara]], ni suala la mjadala.
Ingawa [[umiliki]] wa aina ya biashara hutofautiana kwa [[mamlaka]] ya kisheria,[sheria]], kuna aina kadhaa za kawaida:
 
* '''''' Biashara ya mtu binafsi:''' Hii ni biashara inayomilikiwa na mtu mmoja. Mmiliki anaweza kuiendesha biashara hii yeye binafsi au pia anaweza kuwaajiri wafanyikazi kumsaidia. Mmiliki wa biashara ina [[dhima]] ya binafsi ya madeni inayodaiwa biashara.
==Umiliki wa Biashara==
* '''Biashara ya Ushirikianoushirikiano:''' Hii ni aina ya biashara inayomilikiwa na watu wawili au zaidi kwa pamoja. Katika aina nyingi za ushirikiano , kila mmiliki ana dhima ya binafsi ya madeni yanayodaiwa biashara yao.
Ingawa umiliki wa aina ya biashara hutofautiana kwa [[mamlaka ya kisheria,]] kuna aina kadhaa za kawaida:
* '''Kampuni:''' Hii ni aina ya biashara ambapo wamiliki wa biashara zenyewe hawana dhima ya kibinafsi ya madeni ya biashara yenyewe. Biashara inaweza kuwa ya kutafuta faida au isiwe ya kutafuta faida. Kampuni nyingi zinamilikiwa na wenye hisa na shughuli zake husimamiwa na [[bodi ya wakurugenzi,]] ambayo huwaajiri wasimamizi wa biashara yenyewe. Pia kuna [[kampuni zinazomilikiwa na serikali]] mbali na ziole zinazomiliokiwa na watu binafsi.
 
* '''Vyama vya Ushirika:''' Vyama vya Ushirika ni aina ya biashara ambayo pia kama kampuni wamiliki wake hawana dhima ya kibinafsi kwa madeni ya biashara ambayo lengo lake ni kutafuta faida au isiwe ya kutafuta faida. Vyama vya Ushirika hutofautiana na kampuni kwa kuwa vina wanachama, kinyume na wenye hisa katika kampuni, ambao hushirikishwa katika maamuzi ya chama chenyewe. Vyama vya ushirika kwa kawaida hugawanywa kama[[Vyama vya Ushirika vya wateja]] au [[Vyama vya Ushirika vya Wafanyikazi]] . Vyama vya ushirika ni mojawapo ya misingi wa itikadi ya [[demokrasia ya kiuchumi]].
* '''''' Biashara ya mtu binafsi:Hii ni biashara inayomilikiwa na mtu mmoja. Mmiliki anaweza kuiendesha biashara hii yeye binafsi au pia anaweza kuwaajiri wafanyikazi kumsaidia. Mmiliki wa biashara ina [[dhima]] ya binafsi ya madeni inayodaiwa biashara.
* '''Biashara ya Ushirikiano:''' Hii ni aina ya biashara inayomilikiwa na watu wawili au zaidi kwa pamoja. Katika aina nyingi za ushirikiano , kila mmiliki ana dhima ya binafsi ya madeni yanayodaiwa biashara yao.
* '''Kampuni:''' Hii ni aina ya biashara ambapo wamiliki wa biashara zenyewe hawana dhima ya kibinafsi ya madeni ya biashara yenyewe. Biashara inaweza kuwa ya kutafuta faida au isiwe ya kutafuta faida. Kampuni nyingi zinamilikiwa na wenye hisa na shughuli zake husimamiwa na [[bodi ya wakurugenzi,]] ambayo huwaajiri wasimamizi wa biashara yenyewe. Pia kuna [[kampuni zinazomilikiwa na serikali]] mbali na ziole zinazomiliokiwa na watu binafsi.
* '''Vyama vya Ushirika:''' Vyama vya Ushirika ni aina ya biashara ambayo pia kama kampuni wamiliki wake hawana dhima ya kibinafsi kwa madeni ya biashara ambayo lengo lake ni kutafuta faida au isiwe ya kutafuta faida. Vyama vya Ushirika hutofautiana na kampuni kwa kuwa vina wanachama, kinyume na wenye hisa katika kampuni, ambao hushirikishwa katika maamuzi ya chama chenyewe. Vyama vya ushirika kwa kawaida hugawanywa kama[[Vyama vya Ushirika vya wateja]] au [[Vyama vya Ushirika vya Wafanyikazi]] . Vyama vya ushirika ni mojawapo ya misingi wa itikadi ya [[demokrasia ya kiuchumi]].
 
Kwa orodha ya aina ya biashara zinazotambulika kisheria kulingana na nchi, angalia [[Types of business entities]].
 
==Aina za Biashara==
Kuna aina nyingi za biashara, na kwa sababu hiyo, biashara ni huwekwa kwenye makundi kwa kutumia njia nyingi. Moja ya aina hizi inalengab shughuli za msingi za kibiashara zinazozalisha faida kwa biashara yenyewe:
 
* [[Kilimo]] na biashara [[ya [[uchimbaji madini]] hushughulika na uzalishaji wa malighafi, kama vile mimea au madini.
 
Kuna aina nyingi za biashara, na kwa sababu hiyo, biashara ni huwekwa kwenye makundi kwa kutumia njia nyingi. Moja ya aina hizi inalengab shughuli za msingi za kibiashara zinazozalisha faida kwa biashara yenyewe:
 
* [[Kilimo]] na biashara [[ya uchimbaji madini]] hushughulika na uzalishaji wa malighafi, kama vile mimea au madini.
* Soko [[la fedha]] ni pamoja na mabenki na makampuni mengine ambayo huzalisha faida kupitia uwekezaji na usimamizi wa [[fedha za uwekezaji.]]
* [[Biashara za habari]] huzalisha faida kutokana mauzo ya haki miliki na ni pamoja na [[biashara za video]] , wachapishaji na makampuni ya kuunda programu za tarakilishi.
Mambo makubwa yanayoathiri mpangilio wa biashara ni kama vile:
 
* '''UKubwaUkubwa wa biashara''' na matarajio ya usimamizi na umiliki. kwa ujumla biashara ndogo zinaweza kubadilika kwa urahisi , ilhali biashara kubwa, au zile zenye umiliki mpana au miundo rasmi, kwa kawaida upangiliwa kama ubia au makampuni. Aidha biashara ambayo inataka kuongeza fedha kwenye [[soko la hisa]] au kuwa inamilikiwa na watu anuwai mara nyingi inatakiwa upangile kwa mfumo maalumu wa kisheria ili kufanya hivyo.
* '''Sekta na nchi.''' Biashara za kibinafsibinafsi zenye malrngomalengo ya kupata faida ni tofauti na biashara zinazomilikiwa na serikali. Katika baadhi ya nchi, baadhi ya biashara ni wajibu wa kisheria na mpangilio fulani.
* '''[[Dhima ya kibinafsi.binafsi]]''' . [[Makampuni,]] na baadhi ya biashara zingine huwalinda wamiliki wake dhidi ya kupoteza mali yao wakati biashara inaposhindwa kulipa madeni yake kwa kuifanya kiungo tofauti na wao wenyewe kinacho tambulika kisheria. Kwa kulinganisha, biashara zingine zilizomilikiwa na watu binafsi au na idadi chache ya watu huwa hazijalindwa hivi kisheria.
* '''Faida katika ulipaji wa kodi .''' Miundo tofauti tofauti katika sheria za kodi hushughulikiwa vitofauti, na huenda jambo hili likailetea biashara yenyewe faida.
* '''Mahitaji ya uwazi.''' Miundo tofauti ya biashara huitajika kutoa kiwango fulani cha habari kwa umma (au kuripoti kwa mamlaka husika),na huitajika kutimiza marshati tofauti tofauti.
 
Watu wawili au zaidi wanaoendesha biashara kwa pamoja lakini wameshindwa kuandaa jinsi maalum ya kujiendesha, wataonekana kama ushirikiano wa ujumla. Sheria ya ushirika ni sehemu ya usimamizi kwa makubaliano ya ushirikiano ikiwa moja imeundwa, na sehemu kwa sheria ya mamlaka ambapo ushirikiano hupo.
 
Mtu binafsi nayemiliki na kuendesha biashara anajulikana kama ''mmiliki pekee ('Sole Propritor'),'' awe ameimiliki kupitia kwa njia rasmi au vingine.
 
Vipengele vichche muhimu vya kuzingatia katika kuamua jinsi ya kuendesha biashara ni pamoja na:
#"Kwenda umma" (wakati mwingine huitwa [['IPO')]] - ambayo ina maana ya kuruhusu sehemu ya biashara kuwa inamilikiwa na wawekezaji kwa upana au wananchi kwa ujumla-ni lazima kuandaa mfumo tofauti, ambayo ni kawaida ya sheria na taratibu.
 
===Sheria za kibiasharabiashara===
Shughuli nyingi za kibiashara hufuata sheria maaalum ambazo zimechukua muda mrefu kuuundwa.
 
Baadhi ya biashara ziko chini ya sheria zinazoendelea kuundwa. Hizi ni pamoja na viwanda, kwa mfano, huduma za umma, uwekezaji amana, benki, bima, utangazaji, anga, na watoa huduma za afya. Kanuni za mazingira pia ni ngumu sana na zinaweza kuathiri biashara za aina nyingi katika njia zisizotarajiwa.
 
===Fedha za kuanzisha na kuendesha biashara.===
Wakati biashara zinataka kuchangisha fedha fedha (iitwayo '[[mtaji]]'), sheria zaidi huhusika. Sheria na kanuni nyingi huelekeza jinsi ya kuuza [[dhamana za]] uwekezaji (njia ya kuongeza fedha) katika nchi nyingi za Magharibi . Kanuni hizi zinaweza kuhitaji kuweka wazi mambo mengi kuhusiana na maswala ya kifedha ya kampuni husika na hivyo kuwapa wanunuzi 'remedies'. Kwa sababu "dhamana" ni neno pana sana, shughuli nyingi za uwekezaji huweza kuwa chini ya sheria hizi, isipokuwa katika visa maalum.
 
 
==Angalia Pia==
{{Lango|Business and economicsUchumi}}
 
==Marejeo==
==Vidokezo na marejeo==
{{Marejeo}}
 
 
[[Jamii:Biashara]]
[[Jamii:Uchumi]]
 
[[mk:Бизнис]]
[[ru:Предпринимательство]]