Dk. Omar Ali Juma : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
badilisho la jamii
Mstari 1:
'''Dk. Omar Ali Juma''' (Alizaliwa tar. [[26 Juni]], [[1941]] -– [[4 Julai]], [[2001]]) alikuwa Makamu wa Rais wa Serikali ya Awamu ya Tatu nchini [[Tanzania]], iliyokuwa inaongozwa na Rais [[Benjamin William Mkapa]].
 
==Wasifu==
===Maisha ya awali===
Line 24 ⟶ 25:
 
Wakati mwaka 1978-1984, alifanikiwa kushika wadhifa wa Mkurugenzi wa Maendeleo ya Mifugo, mwaka 1984-1987 alikuwa Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo na Maendeleo ya Mifugo, Zanzibar, na Januari 1988 - 1995, alikuwa Waziri Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
 
==Viungo vya Nje==
* [http://www.psrctz.com/Press%20Releases/Ramirambi-130701.htm Rambi rambi za Dk. Omar Ali Juma]
 
{{DEFAULTSORT:Juma, Omar Ali}}
 
[[Category:Watu wa Tanzania]]
[[Category:Wanasiasa wa Tanzania]]
[[Category:Watu wa TanzaniaZanzibar]]
[[Category:Waliozaliwa 1941]]
[[Category:Waliofariki 2001]]
 
[[Category:Watu na Maisha]]
[[en:Omar Ali Juma]]