Tabianchi ya Tanzania : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
|||
Mstari 1:
'''Tabia ya nchi''' ni hali ya mabadiliko ya
[[Tanzania]] ni nchi iliyopo [[mashariki]] mwa [[bara]] la [[Afrika]] na imepakana na nchi zifuatazo: upande wa [[kaskazini]] imepakana na nchi za [[Kenya]] na [[Uganda]], upande wa [[magharibi]] imepakana na nchi za [[Rwanda]], [[Burundi]] na [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]], upande wa [[kusini]] kuna nchi za [[Zambia]], [[Malawi]] na [[Msumbiji]] wakati upande wa mashariki kuna [[Bahari ya Hindi]].
Tabia ya nchi ya Tanzania hubadilika kwa nyakati
*Tanzania hupata [[majira
*Katika miezi ya [[Juni]], [[Julai]] na [[Agosti]], kuna hali ya [[baridi]] kwa sababu wakati huu jua la utosini huwa katika [[kizio cha kaskazini]].
*Mvua za [[vuli]] hunyesha katika miezi ya [[Oktoba]], [[Novemba]] na [[Desemba]] na mvua za [[masika]] hunyesha katika miezi ya [[Machi]], [[Aprili]] na [[Mei]] ingawa zipo tofauti ndogo kati ya sehemu mbalimbali.
Hivyo kiasi cha mvua na halijoto husababisha tofauti za aina ya [[uoto wa asili]], [[udongo
==Marejeo==
Vitabu vya Jiografia ya Tanzania
{{mbegu-jio}}
[[Jamii:Tanzania]]
|