Mgongo kati wa Atlantiki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
250px
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Mid-atlantic_ridge_map.png|thumb|200px|[[Ramani]] ya mgongo kati ya Atlantiki.]]
'''Mgongo kati wa Atlantiki''' ni [[safu ya milima]] chini ya [[maji]] ya [[bahari]] ya [[Atlantiki]] inayoelekea kutoka 87°N (333 [[km]] [[kusini]] yakwa [[Ncha ya kaskazini]]) hadi [[kisiwa]] cha [[Bouvet (kisiwa)|Bouvet]] katika kusini yamwa [[dunia]] kwenye 54°S.
 
Vilele vya juu vya [[milima]] hii inaonekana juu ya [[UB]] kama [[visiwa]]. Safu hii ya milima imetokea mahali ambako [[bamba la gandunia|mabamba ya gandunia]] yanaachana: [[bamba la Ulaya-Asia]] na [[bamba la Amerika ya Kaskazini]] katika Atlantiki ya Kaskazini, halafu [[bamba la Amerika ya Kusini]] na [[bamba la Afrika]] katika Atlantiki ya Kusini.
'''Mgongo kati wa Atlantiki''' ni safu ya milima chini ya maji ya [[Atlantiki]] inayoelekea kutoka 87°N (333 km kusini ya [[Ncha ya kaskazini]]) hadi kisiwa cha [[Bouvet (kisiwa)|Bouvet]] katika kusini ya dunia kwenye 54°S.
 
Mabamba hayahayo yana mwendo wa kuachana na katika nafasi kati yaoyake [[magma]] hupanda juu inayokuwa [[mwamba]] mpya uliosababisha kutokea kwa milima ya safu.
Vilele vya juu vya milima hii inaonekana juu ya [[UB]] kama visiwa. Safu hii ya milima imetokea mahali ambako [[bamba la gandunia|mabamba ya gandunia]] yanaachana: [[bamba la Ulaya-Asia]] na [[bamba la Amerika ya Kaskazini]] katika Atlantiki ya Kaskazini halafu [[bamba la Amerika ya Kusini]] na [[bamba la Afrika]] katika Atlantiki ya Kusini.
 
Kutambuliwa kwa safu hii kuliweka [[msingi]] kwa [[nadharia]] ya [[upanuzi wa misingi ya bahari]] unaosababisha [[mwendo wa mabamba ya gandunia]].
Mabamba haya yana mwendo wa kuachana na katika nafasi kati yao [[magma]] hupanda juu inayokuwa mwamba mpya uliosababisha kutokea kwa milima ya safu.
[[Picha:Upanuzi msingi bahari.PNG|thumb|left|250px|<small>[[Magma]] inapanda juu penye kuachana kwa [[mabamba ya gandunia]] na kujenga [[safu za milima]] ya migongo chini ya bahari</small>.]]
 
Kutambuliwa kwa safu hii kuliweka msingi kwa nadharia ya [[upanuzi wa misingi ya bahari]] unaosababisha [[mwendo wa mabamba ya gandunia]].
[[Picha:Upanuzi msingi bahari.PNG|thumb|left|250px|<small>[[Magma]] inapanda juu penye kuachana kwa [[mabamba ya gandunia]] na kujenga [[safu za milima]] ya migongo chini ya bahari</small>]]
 
== Visiwa vya mgongo kati wa Atlantiki ==
Visiwa ambavyo ni vilele vya milima ya mgongo huu ni kama vifuatavyo (katika mabano ni majina ya vilele vya juu na [[kimo]]):
'''Nusudunia ya kaskazini (Atlantiki ya Kaskazini)''':
Line 19 ⟶ 18:
#[[Bermuda]] (Town Hill kwenye kisiwa cha Main Island, 76 m)<br />''(Bermuda ilianzishwa juu ya mgongo lakini imesogea mbali sasa)''
#[[Saint Peter and Paul Rocks]] (Southwest Rock, 22.5 m)
 
'''Nusudunia ya kusini (Atlantiki ya Kusini)''':
#Kisiwa cha [[Ascension (kisiwa)|Ascension]] (The Peak, Green Mountain, 859 m)
Mstari 25:
#Kisiwa cha [[Bouvet (kisiwa)|Bouvet]] ([[Olavtoppen]], 780 m)
 
{{mbege-jio}}
 
[[Jamii:Atlantiki]]
[[Jamii:Gandunia]]
[[Jamii:Milima]]