New Delhi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Picha px
No edit summary
Mstari 21:
[[Picha:Edificios ministeriales Delhi.JPG|thumb|250px|Majengo ya serikali katika Delhi mpya yalijengwa na Waingereza]]
 
'''New Delhi''' (yaani '''Delhi Mpya'''; kwa [[Kihindi]]:'' |नई दिल्ली, ''kwa [[Kiurdu]]:'' نئی دلی) ni [[mji mkuu]] wa [[Uhindi]] na [[kitovu]] cha [[jiji]] kubwa la [[Delhi]]. Pamoja na Delhi yote kunskuna wakazi zaidi ya milioni kumi. Iko katika kaskazini ya nchi kwenye kingo za mto [[Yamuna (mto)|Yamunamilioni]] katika tambarare ya bonde la [[GangaKumi (mtonamba)|Gangakumi]]. Kimo cha mji kipo 216 [[m]] juu ya [[UB]] kwa wastani.
 
==Jiografia==
Delhi ina historia ndefu sana iliyoanza mnamo mwaka [[1200 KK]]. Iliharibiwa mara nyingi na kujengwa upya na kubadilisha jina pamoja na wakazi na watawala wake. Katika karne ziliyopita ilikuwa mji mkuu wa [[Dola la Moghul]] na tangu [[1911]] wa [[Uhindi wa Kiingereza]].
Iko katika [[kaskazini]] ya nchi kwenye kingo za [[mto]] [[Yamuna (mto)|Yamuna]] katika [[tambarare]] ya [[bonde]] la [[Ganga (mto)|Ganga]]. [[Mji]] huo uko [[m]] 216 juu ya [[UB]] kwa [[wastani]].
 
==Historia==
'''Delhi Mpya au New Delhi''' ilianzishwa baada ya azimio la [[George V]] mfalme wa [[Uingereza]] na [[Kaisari wa Uhindi]] la kuhamisha mji mkuu kutoka [[Kalkutta]] kwenda Delhi. Mji mpya ulijengwa kando ya Delhi ya Kale na kukabidhiwa mwaka [[1931]]. Ulisanifiwa na wasanifu Waingereza [[Edwin Lutyens]] (1869-1944) na [[Herbert Baker]] (1862-1946).
Delhi ina [[historia]] ndefu sana iliyoanza mnamo mwaka [[1200 KK]]. Iliharibiwa mara nyingi na kujengwa upya na kubadilisha [[jina]] pamoja na wakazi na [[watawala]] wake. Katika [[karne]] ziliyopitazilizopita ilikuwa mji mkuu wa [[Dola la Moghul]] na tangu [[mwaka]] [[1911]] wa [[Uhindi wa Kiingereza]].
 
'''Delhi Mpya au New Delhi''' ilianzishwa baada ya azimio la [[George V]], [[mfalme]] wa [[Uingereza]] na [[Kaisari wa Uhindi]], la kuhamisha mji mkuu kutoka [[Kalkutta]] kwenda Delhi. Mji mpya ulijengwa kando ya Delhi ya Kale na kukabidhiwa mwaka [[1931]]. Ulisanifiwa na [[wasanifu]] [[Waingereza]] [[Edwin Lutyens]] ([[1869]]-[[1944]]) na [[Herbert Baker]] ([[1862]]-[[1946]]).
Tangu mwaka 1947 New Delhi ni mji mkuu wa Uhindi huru.
 
Tangu mwaka [[1947]] New Delhi ni mji mkuu wa Uhindi huru.
{{Mbegu-jio-Asia}}
 
==Viungo vya nje==
{{Commons}}
{{Mbegu-jio-Asia}}
 
[[Jamii:Miji ya Uhindi]]