Sarafu ya Bit : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
|||
Mstari 1:
'''Sarafu ya Bit''' (kwa [[Kiingereza]]: Bitcoin) ni mfumo wa malipo [[dijitali]] ambao unatumiwa na [[milioni|mamilioni]] ya [[watu]] bila [[msimamizi]] wa
Sarafu ya Bit ilianzishwa na mtu asiyejulikana au kikundi cha watu chini ya [[jina]] la [[Satoshi Nakamoto]] na kutolewa kama [[programu huria]] [[mwaka]] [[2009]]. Kuanzia [[Februari]] [[2015]], [[wafanyabiashara]] zaidi ya 100,000 wanakubali bitcoin kama malipo.
== Marejeo ==
<references />
▲== Viungo vya Nje ==
*[https://bitcoin.org/ Mradi wa Sarafu ya Bit]
*[https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/1/12/Bitcoin_explained_in_3_minutes.webm Video ya dakika tatu ikieleza maana ya srafu ya bit]
*[https://www.altcointradingsignal.com/understanding-blockchain-technology-2018-infographic/ Blockchain Infographic]
{{mbegu-uchumi}}▼
[[Jamii:Uchumi]]
[[Jamii:Sarafu]]
▲{{mbegu}}
[[Jamii:Kompyuta]]
|