William Herschel : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
→‎Maisha: masahihisho kadhaa
Mstari 12:
Tangu miaka ya 1770 alianza kushughulikia mambo ya hisabati alikovutwa kutokana na kazi ya kutunga muziki na kutafakari nadharia ya muziki. Kupitia rafiki mmoja alivutwa na astronomia. Alianza kutengeneza na kuuza vifaa vya darubini alizoweza kuboresha.
 
Mwaka 1780 aliweza kugundua [[sayari]] ya [[Uranus]]. Hii ilikuwa sayari ya kwanza iliyogunduliwa Tangotango nyakati yaza kaltekale na hadi wakati ule haikujulikana. Ugunduzi huu ulisababishaulimsababisha kupokelewa kwake katika Shirika la Kifalme la Sayansi pamoja na mshahara uliomwezesha kutumia wakati wake kwa sayansi. Katika miaka iliyofuata alichaguliwa kama mwanachama katika shirika mbalimbali za kisayansi za Ujerumani na Marekani. Mnamo 1820 alikuwa mwenyekiti wa kwanza wa Shirika la Kifalme la Astronomia la Uingereza. Alipokufa mwaka 1822 marafiki waliweka kwenze jiwe la kaburi yake maneno ya Kilatini "Caelorum perrupit claustra" (Alivuka mipaka ya anga)
 
==Kazi ya astronomia==