William Herschel : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
→‎Maisha: masahihisho kadhaa
No edit summary
Mstari 10:
Herschel aliendelea na kazi ya muziki akaendelea kuwa kiongozi wa bendi hadi kushika nafasi ya mkurugenzi wa muziki katika mji wa [[Bath]] alipoishi pamoja na dadake Caroline. Alikuwa pia mpiga [[kinanda za filimbi]] kanisani. Alitunga muziki ya kiroho na ya burudani.
 
==Kazi ya astronomia==
Tangu miaka ya 1770 alianza kushughulikia mambo ya [[hisabati]] alikovutwa kutokana na kazi ya kutunga muziki na kutafakari nadharia ya muziki. Kupitia rafiki mmoja alivutwa na [[astronomia]]. Alianza kutengeneza na kuuza vifaa vya darubini alizoweza kuboresha.
 
==Ugunduzi wa sayari Uranus==
Mwaka 1780 aliweza kugundua [[sayari]] ya [[Uranus]]. Hii ilikuwa sayari ya kwanza iliyogunduliwa tango nyakati za kale na hadi wakati ule haikujulikana. Ugunduzi huu ulimsababisha kupokelewa kwake katika Shirika la Kifalme la Sayansi pamoja na mshahara uliomwezesha kutumia wakati wake kwa sayansi. Katika miaka iliyofuata alichaguliwa kama mwanachama katika shirika mbalimbali za kisayansi za Ujerumani na Marekani. Mnamo 1820 alikuwa mwenyekiti wa kwanza wa Shirika la Kifalme la Astronomia la Uingereza. Alipokufa mwaka 1822 marafiki waliweka kwenze jiwe la kaburi yake maneno ya Kilatini "Caelorum perrupit claustra" (Alivuka mipaka ya anga)
 
==Michango mingine katika sayansi==
==Kazi ya astronomia==
Herschel alitumia vifaa vyake aliyoboresha mwenyewe kwa kuchungulia upya nyota zote. Baada ya kugundua [[Uranus]] aligundua pia miezi yake miwili pamoja na pete za sayari hii. Aliendelea kutambua miezi miwili ya [[Zohali]].