Anime : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Picha
No edit summary
Mstari 7:
| image3 = Buruma003.png
}}
'''Anime''' ni [[istilahi]] ya kutaja "Animation" au [[katuni]] kwa [[lugha]] ya [[Kijapani]]. [[Asili]] yake hasa ni [[Kiingereza]], lakini katika baadhi ya sehemu, istilahi hii humaanisha "Japanese Animation", yaani, Katuni za Kijapani au Animation kwa kulete maana ileile ya Katuni za Kijapani. Lakini vilevile huko nchini [[Japani]], anime huwa wanalitumia pia kwa matumizi ya katuni yoyote ile bila kutazama maana halisi kwa lugha yao. Makala hii inahusu katuni za Japani.
 
Baadhi ya katuni huchorwa kwa [[mkono]], lakini vilevile zinaweza kutengenezwa kwa kutumia [[kompyuta]]. Kuna aina chungumzimachungu nzima ya anime; unaweza kupata anime kuhusu michezo, mazingaombwe, au mahaba. Hii ni baadhi ya mifano. Anime huoneshwa katika [[televishenimichezo]], [[DVDmazingaombwe]] naau [[VHSMapenzi|mahaba]], na pia hutumiwa katika michezo ya video ya kompyuta. Pia, baadhi ya katuni za animeHii ni [[filamu]], lakini zina wahusika wa hali za kikatuni na animation badalabaadhi ya kuweka watu na maeneo ya kwelimifano.
 
Anime huoneshwa katika [[televisheni]], [[DVD]] na [[VHS]], pia hutumiwa katika michezo ya [[video]] ya kompyuta.
Anime hasa hutokana na kitabu cha katuni cha Kijapani kinaitwa [[Manga]] na riwaya za picha. Wakati mwingine filamu za kawaida, yaani, filamu zinazohusisha mazingira ya kweli watu, mahali, na kadhalika huwa zinatokana na mifululizo ya anime. Historia ya anime huko nchini Japani hutazamiwa hasa kuanza kunako miaka ya 1900
 
Baadhi ya katuni za anime ni [[filamu]], lakini zina [[wahusika]] wa hali za kikatuni na animation badala ya kuweka watu na maeneo ya kweli.
 
Anime hasa hutokana na [[kitabu]] cha katuni cha Kijapani kinaitwakinachoitwa [[Manga]] na [[riwaya]] za [[picha]]. Wakati mwingine filamu za kawaida, yaani, filamu zinazohusisha [[mazingira]] ya kweli watu, mahali, na kadhalika huwa zinatokana na mifululizo ya anime. Historia ya anime huko nchini Japani hutazamiwa hasa kuanza kunako miaka ya 1900
 
[[Historia]] ya anime nchini Japani hutazamwa hasa kuanza kunako [[miaka ya 1900]].
 
== Baadhi ya anime ==
* [[Kodomo]]
* [[Shonen]]
* [[Shojo]]
* [[Seinen]]