Raimond Aumann : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 16 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q380629 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
'''Raimond Aumann''' (amezaliwa tar. [[12 Oktoba]] [[1963]]) alikuwa mchezaji wa [[mpira wa miguu]] kutoka nchini [[Ujerumani]]. Alikuwa golikipa wa [[Bundesliga]] kati ya mwaka 1982 na 1994. Kwa miaka miwili ya mwanzo alikuwa golikipa msaidizi wa [[FC Bayern Munich]] (wa kwanza kuchaguliwa alikuwa Bw. [[Jean-Marie Pfaff]]).
 
Mnamo mwaka wa 1984 akaja kuwa namba moja kwa mara ya kwanza mpaka alipokuja kuumia mnamo mwezi Novemba katika mwaka wa 1985. Pale Bw. Jean-Marie Pfaff alipoondoka katika kikosi cha [[Bayern Munich]] mnamo mwaka 1988, Raimond Aumann akawa ndiyo golikipa wa kwanza. Raimond pia
Mstari 7:
* [http://www.fussballdaten.de/spieler/aumannraimond/ Career stats at fussballdaten.de]
 
{{Mbegu-michezocheza-mpira}}
 
{{DEFAULTSORT:Aumann, Raimond}}
[[Jamii:Waliozaliwa 1963]]
[[Jamii:Wachezaji Mpirampira wa Ujerumani]]
[[Jamii:Wachezaji wa FC Bayern Munich]]
[[Jamii:Watu walio hai]]