Fernando Sancho : Tofauti kati ya masahihisho

4 bytes added ,  miaka 15 iliyopita
badilisho la jamii
(Fernando Sancho)
(badilisho la jamii)
[[Image:Fernando Sancho.jpg|thumb|right|160px|Fernando Sancho.]]
 
'''Fernando Sancho''' (Alizaliwaalizaliwa tar. [[7 Januari]] ya mwaka wa [[1916]], akafariki dunia tar. [[31 Julai]] ya mwaka wa [[1990]]) alikuwa muigizaji wa filamu kutoka nchini [[Hispania]]. Sancho alizaliwa mjini [[Zaragoza]], Aragón, [[Hispania]], akaja kuiaga dunia mjini [[Madrid]] baada ya kufanyiwa upasuaji.
 
Fernando pia aliwahi kuonekana katika [[Spaghetti Westerns|filamu za western]], ambazo nyingi zilitaarishwa na mataarishaji Ignacio F. Iquino, vile vile kuna kipindi huonekana katika filamu alizocheza nyota [[Richard Harrison]].
{{Mbegu}}
 
{{DEFAULTSORT:Sancho, Fernando}}
[[Category:Watu wa Hispania]]
[[Category:Waigizaji Filamu wa Hispania]]
[[Category:Waigizaji wa Filamu za Western]]
[[Category:Watu naWalio MaishaHai]]
[[Category:Waliozaliwa 1916]]
[[Category:Waliofariki 1990]]
62,394

edits