Kahawa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 23:
* '''Kahawa ya kuchemsha''': unga pamoja na maji hukorogwa katika sufuria juu ya moto na kuchemka polepole. Njia hii hupendwa katika nchi za [[Mashariki ya Kati]], [[Afrika ya Kaskazini]], [[Uturuki]] na [[Ugiriki]]. Inapatikana pia katika Uswahilini kama desturi yenye asili ya Uarabuni.
 
* '''Espresso''': Unga huwekwa katika ya chujio ndani ya mashine na maji ya kuchemka hupitishwa kwa shindikizo katika unga. Asili ya mashine hizi ni [[Italia]] lakini zimeenea duniani. Kahawa yake ni nzito lakini inakorogwa mara nyingi pamoja na maziwa au povu ya maziwa. Uzuri wa kahawa ya espresso hulingana sio tu na uzuri wa buni mbali pia ubora wa mashine ya kutengenezea expresso.<ref>{{Cite web|url=https://kitchenlola.com/best-drip-coffee-maker/|title=The 5 Best Drip Coffee Makers of 2018 – Reviews and Buying Guide|author=Ron Cooper|date=Juni 6, 2018|language=en-US|work=Kitchenlola|accessdate=Julai 26, 2018}}</ref>
 
* '''Kahawa ya filta''': Umga huwekwa katika mfuko wa karatasi ya filta juu ya birika na maji ya kuchemka humwagwa juu yake yakitirikika chini polepole. Kuna pia filta za metali. Mara nyingi watu wanatumia machine wakijaza unga kwenye filta na maji kwenye chobo cha mashina na kuwasha macine tu inayochemsha maji yanayotiririka polepole kuingia katika filta.