Tanzania : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 122:
 
==Utawala==
[[Muundo]] wa [[uongozi]] na [[utawala]] katika kipindi cha [[ukoloni]] ulizingatia mgawanyo wa [[madaraka]] baina ya mihimili mitatu ya [[dola]] yaani utawala[[serikali]], [[bunge]] na [[mahakama]].
 
MgawanyoTangu huu[[uhuru]], mgawanyo wa madaraka na uhusiano miongoni mwa mihimili hiyo uliimarishwa kwa kuzingatia wakati, mahitaji ya [[demokrasia]] na misingi ya [[utawala bora]] na umeainishwa pia katika [[katiba]] ya [[Jamhuri ya Muungano wa Tanzania]] Ibara ya 4(1). .
 
Kuwepo kwa [[mfumo wa vyama vingi]] pia kulikuwa hatua ya kuendelea kuimarisha utawala wa ushiriki wa wananchi kadiri mahitaji ya upanuzi wa maono na [[falsafa]] [[duniani]].
Tangu [[uhuru]], mgawanyo wa madaraka na uhusiano miongoni mwa mihimili hiyo uliimarishwa ipasavyo kwa kuzingatia wakati, mahitaji ya [[demokrasia]] na misingi ya [[utawala bora]].
 
Mgawanyo[[Ugatuzi]], wayaani kiutawalamgawanyo wa Tanzaniakiutawala, unafuata Katiba ya nchi I 2.2. Tanzania imegawiwa kwa [[Mikoa ya Tanzania|mikoa]] 31. Kila [[mkoa]] huwa na [[wilaya]] ndani yake. Jumla ya wilaya ni 169, ambazo kati yake 34 ni miji.
 
Ndani ya wilaya kuna ngazi za [[tarafa]] (division) na [[kata]] (ward).
 
Chini ya kata kuna [[vijiji]] na wakati mwingine ngazi ya chini tena ambayo ni vitongoji.
 
{| class="wikitable"