Mifugo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Removed redirect to Wanyama wa nyumbani
Tag: Removed redirect
No edit summary
Mstari 6:
Uteuzi huu umesababisha tofauti za kimaumbile na tofauti za tabia baina ya wanyama wa kufugwa na wanyama wa pori wa spishi ileile. Tofauti hizi zinaonekana katika rangi, ukubwa wa mwili, uwezo wa kuwasiliana na binadamu na mengine.
 
==Asili kaika wanyama waliotafuta mazingira ya kibinadamu==
Imethibtishwa ya kwamba mnyama wa kwanza wa kufugwa alikuwa [[mbwa]]. Asili ya mbwa walikuwa vikundi vya [[mbwa mwitu]] wa Ulaya ''(wolf)'' waliofuata koo za binadamu wawindaji na kula mabaki ya chakula yaliyotupwa nao. Kwa kupatana na mbwa mwitu ambao walikuwa wapole na kutoshambulia watu (na kuua wote waliokuwa wakali) binadamu hao walianza kupatana nao na kuona faida ya uangalivu wao wakati mgeni au windo alikaribia. Tangu kuwapatia mbwa mwitu chakula kama zawadi waliendelea kuzoeana. Ingawa historia hii bado haieleweki kikamilifu watalaamu wengine wanaona ya kwamba wawindaji kadhaa walianza kutunza watoto wa mwbwa mwitu kwao na kuwafuga kama wanyama wapenzi.
 
Inaonekana ya kwamba kulikuwa pia na wanyama wengine wa porini waliofuata binadamu kwa sababu waliona faida kukaa karibu nao kama vile [[paka]] (aliyefuata [[panya]] waliokula mavuno ya wakulima wa kwanza).
Imethibtishwa ya kwamba mnyama wa kwanza wa kufugwa alikuwa mbwa. Asili ya mbwa walikuwa vikundi vya mbwa mwitu wa Ulaya (wolf) waliofuata koo za binadamu wawindaji na kula mabaki ya chakula yaliyotupwa nao. Kwa kupatana na mbwa mwitu ambao walikuwa wapole na kutoshambulia watu (na kuua wote waliokuwa wakali) binadamu hao walianza kupatana nao na kuona faida ya uangalivu wao wakati mgeni au windo alikaribia. Tangu kuwapatia mbwa mwitu chakula kama zawadi waliendelea kuzoeana. Ingawa historia hii bado haieleweki kikamilifu watalaamu wengine wanaona ya kwamba wawindaji kadhaa walianza kutunza watoto wa mwbwa mwitu kwao na kuwafuga kama wanyama wapenzi.
 
Vilevile asili ya [[kuku]] ni kuku mwekundu wa porini wa Indonesia ''(red junglefowl)'' aliyetafuta takataka kwenye makazi ya watu, akawazoea na kutumiwa nao kama chanzo cha nyama na mayai.
Inaonekana ya kwamba kulikuwa pia na wanyama wengine wa porini waliofuata binadamu kwa sababu waliona faida kukaa karibu nao kama vile paka (aliyefuata panya waliokula mavuno ya wakulima wa kwanza).
 
==Tanbihi==
Vilevile asili ya kuku ni kuku mwekundu wa porini wa Indonesia (red junglefowl) aliyetafuta takataka kwenye makazi ya watu, akawazoea na kutumiwa nao kama chanzo cha nyama na mayai.
<references/>
 
==Marejeo==
*[www.palaeobarn.com/sites/domestication.org.uk/files/downloads/112.pdf Larson, Fuller: The Evolution of Animal Domestication ]
 
[[Jamii:Wanyama]]