Kahawa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 3:
'''Kahawa''' ni [[kinywaji]] kinachotengezwa kutokana na [[buni]] ambazo ni [[mbegu]] za [[Mbuni (mmea)|mbuni]].
 
Kahawa ni kinywaji kinachozidi kuenea [[duniani]]. Inapendwa kwa sababu ya [[ladha]] yake pamoja na [[dawa]] ya [[kafeini]] iliyomo ndani yake. Kafeini ina taathiritaathira ya kuchechemua na kuondoa [[uchovu]].
 
== Matumizi ya kahawa ==
[[Picha:Zubereitung mokka.jpg|thumb|300px|Kuchemsha [[unga]] wa kahawa pamoja na [[maji]] ni njia asilia ya kutengeneza kinywaji hicho.]]
Wanywaji wakuu wa kahawa duniani ni watu wa [[Ufini]] wanaotumia [[kilogramu]] 11.3 kwa [[mwaka]] kila mkazi, ambayo ni sawa na [[Kikombe|vikombe]] 17371,737 kwa mwaka au vikombe 5 kwa [[siku]] kwa kila mkazi. Lakini [[watoto]] hawanywi kahawa, hivyo [[watu wazima]] hunywa zaidi kuliko [[wastani]] huu.
 
Wakazi wa [[Marekani]] katika mwaka [[1998]] walitumia kahawa [[tani]] 1.148.000 inayolingana na wastani wa matumizi ya vikombe 1.8 kwa siku kila mkazi.
Mstari 14:
 
==Kahawa kwa kupunguza uzani mwilini==
Wanaouza [[dawa za kupunguza uzani]] husema kwamba kafeini iliyomo katika kahawa huchangia katika kuyeyusha [[mafuta]]. Hili hufanyika wakati [[mwili]] unapotoa [[joto]]. Katika ile hali ya kutoa joto (thermogenesis) mafuta huyeyushwa na kufanywa kawi. <ref>Makala ya [https://www.webmd.com/diet/news/20000322/drinking-green-tea-may-help-you-lose-weight Webmd] yaonyesha kwamba kafeini huinua joto mwilini kutoka asilima ishirini na nane hadi sabini na saba.</ref> Hata hivyo, hili laweza kuchangia upotevu wa usingizi wakati wa usiku pamoja na kuwa na [[fadhaiko]] (anxiety) <ref>[https://justforweightloss.com/gnc-thermogenic-fat-burners/ gnc thermogenics]</ref>.
 
== Njia za kutengeneza kahawa ==
Buni zilizokaangwa hupondwa au kusagwa kuwa unga wa kahawa. Mara nyingi [[kipimo]] ni [[kijiko]] kidogo kimoja cha unga kwa kila kikombe cha kahawa.
Watu wengi wanakoroga [[sukari]] au [[maziwa]] katika kahawa kulingana na mapenzi yao.
 
Kuna njia mbalimbali za kutengeneza kahawa zinazotofautiana kati ya nchi na nchi. Watu wanakoroga [[sukari]] au [[maziwa]] katika kahawa kulingana na mapenzi yao.
 
* '''Kahawa ya kuchemsha''': unga pamoja na maji hukorogwa katika [[sufuria]] juu ya [[moto]] na kuchemka polepole. Njia hii hupendwa katika nchi za [[Mashariki ya Kati]], [[Afrika ya Kaskazini]], [[Uturuki]] na [[Ugiriki]]. Inapatikana pia katika [[Uswahilini]] kama [[desturi]] yenye [[asili]] ya [[Uarabuni]].
 
* '''Espresso''': Ungaunga huwekwa katika ya [[chujio]] ndani ya [[mashine]] na maji ya kuchemka hupitishwa kwa [[shindikizo]] katika unga. Asili ya mashine hizi ni [[Italia]] lakini zimeenea duniani. Kahawa yake ni nzito lakini inakorogwa mara nyingi pamoja na maziwa au [[povu]] yala maziwa. [[Utamu]] wa kahawa ya espresso hulingana si tu na [[ubora]] wa buni, bali pia na ubora wa mashine ya kutengenezea expressoespresso.
 
* '''Kahawa ya filta''': Ungaunga huwekwa katika [[mfuko]] wa [[karatasi]] ya [[filta]] juu ya [[birika]] na maji ya kuchemka humwagwa juu yake yakitirikika chini polepole. Kuna pia filta za [[metali]]. Mara nyingi watu wanatumia machine wakijaza unga kwenye filta na maji kwenye chobochombo cha mashina na kuwasha macinemashine tu inayochemsha maji yanayotiririka polepole kuingia katika filta.
 
* Kuna pia birika au mashine zinazoiga mwendo wa espresso lakini bila shindikizo kali hivi. Kwa mfano kuna birika ambako unga na maji ya kuchemka zinamwagiliwazinamwagiwa pamoja. Mchanganyiko unakaa kwa [[dakika]] [[moja]] au [[mbili]], halafu kuna chujio kwneyekwenye [[mfuniko]] wa birika inayosukumwa chini polepole. Unga unashikwa chini na kahawa inapita kukaa juu.
 
* '''Kahawa mumunyifu''': inatengenezwa kwa kutumia unga wa pekee ulioandaliwa [[Kiwanda|kiwandani]]. Hapa kahawa inatengenezwa kiwandani halafu maji huondolewa kwenye kahawa na unga unabaki unaokorogwa tu katika maji ya moto na kahawa ni tayari. Watu wengi wameizoea kwa sababu inatengenezwa haraka lakini wapenzi wa kahawa mara nyingi wanalalamika ya kwamba sehemu ya ladha inapotea.
 
* '''Kahawa latte (coffee latte)''': Kahawajina latte kutokanahutokana na jinaneno la [[Kiitalia]] "latte" ([[maziwa]]); hutengenezwa kwa kuchukua aina ya kahawa <ref>kama [http://myvirtualcoffeehouse.com/tassimo-pods Tassimo pods]</ref>, kuitengeneza espresso na kuweka maziwa ndani. Kwa hivyohiyo, tofauti na espresso ni kuwa huwa na maziwa.
 
==Picha==
<gallery caption="Namna za kutengeneza kahawa" widths="150px" heights="120px" perrow="5">
Image:Turkishcoffee.jpg|Kahawa ya kuchemsha huwa na povu yala unga juu yake
image:Linea doubleespresso.jpg|Mashine ya Espresso kazini
Image:Kaffeefilter.jpg|Unga wa kahawa kwenye filta ya karatasi
Line 53 ⟶ 54:
* [https://kitchenlola.com/best-drip-coffee-maker The Best Drip Coffee Makers]
 
{{mbegu-utamaduni}}
 
[[Jamii:Vinywaji|Kahawa]]