Maana ya maisha : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 118:
Msingi wa kimaadili wa falsafa ya uvumilivu ni kuwa "zuri liko katika hali ya nafsi", yenyewe inaonyeshwa katika [[hekima]] na kujidhibiti, hivyo kuboresha ustawi wa kiroho: "Fadhila" inatokana na "nia" ambayo inawiana na maumbile."<ref name="Russel" /> Kanuni inatumika katika uhusiano wa kibinafsi, yaani: "kuwa huru kutokana na hasira na wivu".<ref name="Russel" />
 
===Falsafa za enzi ya KutaalamikaMwangaza===
[[KutaalamikaFalsafa ya Mwangaza|Enzi ya Kutaalamika]] na ile ya [[ukoloni]] zote [[mbili]] zilibadilisha hali ya falsafa ya [[Ulaya]] na kuieneza [[dunia]]ni kote. [[Ibada]] na kumnyenyekea [[Mungu]] viligeuka kuwa dhana za [[haki za binadamu]] zisizowezwazisizoweza kunyimwa na dhana ya uwezo wake mkuu wa kifikira. Maadili ya ulimwengu mzima ya [[upendo]] na [[huruma]] yaligeuka dhana za kiraia za [[uhuru]], [[usawa]], na [[uraia]]. Maana ya maisha pia yalibadilika, ikiacha kidogo kuhimiza uhusiano na Mungu na kusisitiza uhusiano kati ya watu binafsi na jamii yao. Kipindi hicho kilijaa nadharia zinazolinganisha kuwepo kwa maana na utaratibu wa kijamii.
 
====Uhuru kutoka mipango ya kimalikiuchumi ya jamii====
Uhuru kutoka mipango ya kimalikiuchumi ya kijamii ni seti ya mawazo yaliyoibuka katika [[karne za 17]] na [[karne ya 18|18]], kwa sababu ya migogoro iliyochukua nafasi kubwa barani Ulaya kati ya waliozidi kuwa ma[[tajiri]], pamoja na utaratibu wa viongozi matajiri, na watu wa dini.
 
Uhuru kutoka mipango ya kimalikiuchumi ya kijamii ulionyesha binadamu kama viumbe wenye [[haki]] walizozaliwa nazo na wasizowezwa kunyimwa (pamoja na haki ya mtu kubaki na [[mali]] inayotokana na kazi yake binafsi), na ulitafuta mbinu za kupima haki kuwa sawa katika jamii yote. KiujumlaKijumla, [[uhuru binafsi]] ulitazamwa kuwa lengo kuu,<ref>A: "'Liberalism' is defined as a social ethic that advocates liberty, and equality in general." – [[C. A. J. (Tony) Coady]] ''Distributive Justice'', A Companion to Contemporary Political Philosophy, editors Goodin, Robert E. and Pettit, Philip. Blackwell Publishing, 1995, p.440. B: "Liberty is not a means to a higher political end. It is itself the highest political end." – [[John Dalberg-Acton, 1st Baron Acton|Lord Acton]]</ref> kwa sababu ya kudhani kwamba kupitia hakikisho la uhuru tu haki nyingine zilizojikita kwa ndani zitakapolindwa.
 
Kuna aina nyingi za dhana ya uhuru kutoka mipango ya kimalikiuchumi ya kijamii, lakini dhana zao kuu kuhusu maana ya maisha zinaambatana na dhana tatu za msingi. Wanafalsafa wa awali kama vile [[John Locke]], [[Jean-Jacques Rousseau]] na [[Adam Smith]] waliona binadamu akianza katika hali ya kimaumbile, kisha akitafuta maana kupitia [[ajira]] na mali, na kutumia [[mkataba wa kijamii|mikataba ya kijamii]] ili kujenga mazingira ambayo yanasaidia juhudi hizo.
 
====Ukanti====
[[File:Immanuel Kant (portrait).jpg|right|125px|thumb|[[Immanuel Kant]] anafahamika kama mmoja wa wanafalsafa wenye ushawishi mwingi zaidi katika kipindi cha mwisho cha [[Enzi ya Kutaalamika|Kutaalamika]].]]
[[Ukanti]] ni falsafa iliyo na msingi katika [[maandishi]] ya kimaadili, ya [[somo la maarifa]] na ya ki[[metafizikia]] ya [[Immanuel Kant]]. Kant anajulikana kwa [[nadharia ya uwajibikaji]] ambapoambayo msingi ni wajibu mmoja wa kimaadili, "dhana ya lazima bila kujalisha", inayotokana na dhana ya [[uwajibikaji]]. Wakanti wanaamini kuwa vitendo vyote vinafanywa kulingana na lengo au kanuni fulani isiyobainika wazi, na kuwa ili vitendo viveviwe adilifuadili, ni lazima viambatane na dhana ya lazima bila kujalisha.
 
Kifupi, [[mtihani]] ni kwamba lazima mmoja afanye lengo litumike ulimwenguni kote (tafakari kwamba watu wote walitenda hivi), kisha angalia kama bado itawezekana kulitekeleza lengo duniani. Katika [[kitabu]] chake, ''Kazi ya msingi'', Kant anatoa mfano wa mtu ambaye anataka kukopa [[pesa]] bila kunuiania ya kuzirudisha. Huu ni utata kwa sababu kama ingalikuwa hatua ya wote ulimwenguni, hakuna mtu ambaye angemkopesha mwingine, tena kwani yeye angejua kwamba hangerudishiwa pesa hizo. Lengo la hatua hii, anasema Kant, linaleta matokeo ya mkanganyiko katika matazamio (na hivyo linapingana na wajibu kamili).
 
Kant pia alikanusha kwamba matokeo ya tendo huchangia kwa njia yoyote thamani ya kimaadili ya tendo, hoja yake ikiwa kwamba ulimwengu wa kimwili upo nje ya udhibiti kamili wa mtu na hivyo mtu hawezi kuwajibika kwa matukio yanayofanyika hapo.
 
===Falsafa za [[karne ya 19]]===
====UtumikajiFalsafa ya faida====
[[File:Jeremy Bentham by Henry William Pickersgill detail.jpg|right|thumb|120px|Jeremy Bentham]]
Asili ya utumikaji[[falsafa ya faida]] inaweza chapwakurudi nyuma sana hadi [[Epikuro]], lakini, kama shule ya mawazo, inahusishwa na [[Jeremy Bentham]],<ref>Rosen, Frederick (2003). ''Classical Utilitarianism from Hume to Mill''. Routledge, pg. 28. ISBN 0415220947 "It was Hume and Bentham who then reasserted most strongly the Epicurean doctrine concerning utility as the basis of justice."</ref> ambaye aligundua kuwa ''asili imemweka mtu chini ya utawala wa mabwana wawili wa kujitegemea, maumivu na raha''. Basi, kutokana na busara hiyo ya kimaadili, na kuiunda ''Sheria ya Utumizi'', ''kwamba wema ni chochote ambacho huleta furaha nyingi zaidi kwa idadi kubwa zaidi ya watu''. Alifafanua maana ya maisha kama "kanuni ya furaha nyingi zaidi".
 
[[Jeremy Bentham]] aliungwa mkono sana na [[James Mill]], mwanafalsafa muhimu katika siku zake, na baba yake [[John Stuart Mill]]. Mill mdogo alifunzwa kulingana na kanuni za Bentham, pamoja na kunakili na kufupisha maandishi mengi ya baba yake.<ref name="Mill">Mill, John Stuart. 'On Liberty', ed. Himmelfarb. Penguin Classics, 1974, Ed.'s introduction, p.11.</ref>
Mstari 146:
Kulingana na [[Umaksi]] na [[Ukomunisti]], maana ya maisha ni kutumikiana katika [[amani]] na kwa [[uadilifu]] kama wanadamu walio sawa na wenye haki.
 
====Ubatili wa vyoteUbatilivyote====
[[UbatiliUbatilivyote]] wa vyote ni falsafa inayokataa madai kuwa yeyote ana [[maarifa]] na ukweli, na hivyo inapeleleza umuhimu wa kuishi bila ukweli unaoweza kujulikana. Badala ya kusisitiza kwamba maadili yanabadilika kulingana na mtu, na huenda yasipewe sababu, [[mbatilivyote]] anasema: "Hakuna kitu chenye thamani", maadili hayana thamani, hutumika tu kama maadili bandii ya jamii.
 
[[Friedrich Nietzsche]] aliutambulisha [[ubatilivyote]] kama kuifanya dunia kuwa tupu, na hasa kuhusu uwepo wa binadamu, wa maana, wa kusudi, wa ukweli wa kueleweka, na wa thamani muhimu; kwa ufupi, ubatili wa vyote ni mchakato wa "kuyafanya maadili makuu yasiwe na thamani".<ref name="Bindé">{{cite book|author=Jérôme Bindé|title=The Future Of Values: 21st-Century Talks|publisher=Berghahn Books|year=2004|isbn=1571814426}}</ref> Ubatili wa vyoteUbatilivyote ni kama matokeo ya wazo kwamba [[kifo cha Mungu|Mungu amekufa]], na kusisitiza kwamba hicho ni kitu kilichokuwa kinafaa kushindwa.<ref name="Reginster">{{cite book |author=Bernard Reginster |title=The Affirmation of Life: Nietzsche on Overcoming Nihilism |publisher=Harvard University Press |year=2006 |isbn=0674021991}}</ref>
 
Kwa [[Friedrich Nietzsche]], maisha ni ya thamani tu ikiwa kuna malengo yanayomshawishi mtu kuishi. Hivyo, aliona falsafa ya ubatilivyote ("yote ambayo hufanyika ni ubatili") kama bila malengo. Alikana kujiepusha na anasa, kwa sababu kufanya hivyo kunakanusha kuishi katika ulimwengu; alikanusha kuwa maadili ni malengo ya ukweli, ambayo kifikira ni ahadi za lazima zinazotumika ulimwenguni kote: tathmini zetu ni tafsiri, na si tafakari za dunia, kama ilivyo kwa kweli, na basi, dhana zote hufanyika kupitia mtazamo fulani.<ref name="Reginster" />
 
[[File:MARTIN John Great Day of His Wrath.jpg|thumb|left|''Mwisho wa Dunia'', picha iliyochorwa na msanii [[John Martin]].]]
Line 155 ⟶ 157:
 
<blockquote>Kama Mungu, ambaye ndiye lengo na msingi unaozidi yale yanayoweza kuhisika, na wa ukweli wote, amekufa; kama ulimwengu unaozidi yanayoweza kuhisika wa mawazo umeumizwa kwa kupoteza nguvu zake za lazima za kujijenga juu, na juu ya hayo, za kuipa nguvu zaidi, basi hakuna chochote kinachobaki ambacho mtu anaweza kushikilia, na ambacho anaweza tumia kuitafuta njia.<ref>Heidegger, "The Word of Nietzsche," 61.</ref></blockquote><ref name="Bindé" /> Heidegger,
 
[[Mdhanaishi]] [[Albert Camus]] alidai kuwa mkanganyo wa hali ya binadamu ni kwamba watu wanatafuta maadili ya nje na maana katika dunia ambayo haina maana yoyote, na ambayo haiwajali. Camus anaandika kuhusu wabatilivyote wa thamani kama Meusrault,<ref>Camus (1946) ''L'Etranger''</ref> na pia kuhusu maadili katika ulimwengu wa kuyabatili yote, kwamba watu wanaweza badala yake kujitahidi kuwa "wabatilivyote wa kishujaa", wanaoishi na hadhi wanapopambana na mkanganyiko, kuishi kwa "utakatifu wa kidunia", [[mshikamano wa kindugu]], na kuuasi na kupambana dhidi ya kutojali kwa dunia.<ref>Camus (1955) ''The Myth of Sisyphus''</ref>
 
===Falsafa za [[karne ya 20]]===
Kipindi cha sasa kimeyaona mabadiliko makuu katika dhana ya hali ya binadamu. Sayansi ya kisasa imefanikiwa kuandika upya uhusiano kati ya wanadamu na ulimwengu halisia, [[maendeleo]] katika [[matibabu]] na [[teknolojia]] yametufanya tuwe huru kutoka upungufu na [[maradhi]] ya vipindi vya awali, na falsafa - hasa kufuatia mgeuko wa kilugha - ilibadilisha jinsi uhusiano kati ya watu unavyotazamwa.
 
Maswali kuhusu maana ya maisha pia yamekabiliwa na mabadiliko makuu, kutoka majaribio ya kutazama upya kuwepo kwa binadamu kupitia biolojia na sayansi kwa jumla (kama katika [[#upragmatiki|upragmatiki]] na [[#uchanya wa kimantiki|uchanya wa kimantiki]]), hadi jitihada za kinadharia kimeta kuhusu kufanya maana kama shughuli ([[#udhanaishi|udhanaishi]], utu wa kidunia).
 
====Upragmatiki====
[[Upragmatiki]], ulianzishwa mwishoni mwa karne ya 19 nchini [[Marekani]] ukidokeza kwamba ukweli ''ni katika kukabiliana na mazingira tu'' na kwamba ''matokeo'' pia ni sehemu za ukweli. Isitoshe, upragmatiki unadokeza kwamba ''chochote'' muhimu na chenye vitendo si kweli daima, akisema kwamba kile ambacho huchangia zaidi mema ya binadamu wengi katika kipindi cha muda mrefu nindicho kweli. Katika mazoezi, madai ya kinadharia lazima ''yathibitishwe kwa vitendo'', yaani lazima mtu aweze kutabiri na kupima madai, na kwamba, mwishowe, mahitaji ya watu yanapaswa kuongoza uchunguzi wa kisomi wa binadamu.
 
Wanafalsafa wa Kipragmatiki wanadokeza kwamba kuyaelewa maisha kupitia vitu vinavyotendwa ni muhimu kuliko kutafuta dhana ya kiakili ambayo ni gumuvigumu kuwekwa katika vitendo kuhusu maisha. [[William James]] alisema ukweli unawezwaunaweza kufanywa, lakini hauwezi kutafutwa.<ref name="James">{{cite book|author=[[William James]]|title=The Meaning of Truth|publisher=Prometheus Books|year=1909|isbn=1-57392-138-6}}</ref><ref name="Corti">{{cite book|author=Walter Robert Corti|title=The Philosophy of William James|publisher=Meiner Verlag|year=1976|isbn=3787303529}}</ref> Kwa mpragmatikiWapragmatiki, maana ya maisha yanajulikana tu kupitia uzoefu.
 
====Udhanaishi====
Kila [[mwanamume]] na kila [[mwanamke]] anaumba kiini (maana) ya maisha yake; maisha hayadhamiriwi na Mungu mwenye nguvu kuliko binadamu au [[mamlaka]] ya kidunia, bali kila mtu yuko huru. Kwa hivyohiyo, mambo muhimu yanayomuendesha mtu kimaadili ni ''vitendo'', ''uhuru'' na ''uamuzi''. Hivyo, [[udhanaishi]] unapinga ufikiriaji na uchanya. Katika kutafuta maana ya maisha, mdhanaishi anatazama mahali ambapo watu hupata maana ya maisha, ambapo katika kutumia fikira tu kama chanzo cha maana ni pungufu. Upungufu huibua hisia za wasiwasi na hofu, zinazohisika katika kukabiliana na [[uhuru]] mkuu, na kuambatana na mwamko kuhusu kifo. Kwa mdhanaishi, kuwepo kunatangulia kiini; (kiini) cha maisha ya mtu huja ''tu'' baada ya mtu kuwa.
 
[[Søren Kierkegaard]] aliunda neno "mruko wa kiimani", akidokeza kuwa maisha yamejaa mkanganyiko, na mtu lazima aunde maadili yake katika ulimwengu usiojali. Mtu anaweza kuishi maisha yenye maana (yasiyo na kukata tamaa wala wasiwasi) kwa kufanya ahadi kwa vyovyote kuhusu kitu kilicho na mwisho, na kujitolea kwa maisha hayo ya kufanya ahadi, licha ya mazingira magumu yaliyojikita katika kufanya hivyo.<ref name="Hall">{{cite book|author=Amy Laura Hall|title=Kierkegaard and the Treachery of Love|publisher=Cambridge University Press|year=2002|isbn=0521893119}}</ref>
 
[[Arthur Schopenhauer]] alijibu: "Ni nini maana ya maisha?" kwa kubainisha kuwa maisha ya mtu yanaonyesha nia yake, na kwamba nia (maisha) kiendeshaji kisichokuwa na lengo, kisichofuata fikira na kinachokuwa chungu. [[Wokovu]], [[ukombozi]], na kuepuka mateso yamo katika kutafakari mambo mazuri, kuhurumia wengine, na kujieupusha na anasa.<ref name="Jacquette">{{cite book|author=Dale Jacquette|title=Schopenhauer, Philosophy, and the Arts|publisher=Cambridge University Press|year=1996|isbn=0521473888}}</ref><ref name="Murray">{{cite book|author=Durno Murray|title=Nietzsche's Affirmative Morality|publisher=Walter de Gruyter|year=1999|isbn=3110166011}}</ref>
 
Kwa [[Friedrich Nietzsche]], maisha ni ya thamani tu ikiwa kuna malengo yanayomshawishi mtu kuishi. Hivyo, aliona falsafa ya ubatilivyote ("yote ambayo hufanyika ni ubatili") kama bila malengo. Alikana kujiepusha na anasa, kwa sababu kufanya hivyo kunakanusha kuishi katika ulimwengu; alikanusha kuwa maadili ni malengo ya ukweli, ambayo kifikira ni ahadi za lazima zinazotumika ulimwenguni kote: tathmini zetu ni tafsiri, na si tafakari za dunia, kama ilivyo kwa kweli, na basi, dhana zote hufanyika kupitia mtazamo fulani.<ref name="Reginster" />
 
====Ukanganyikaji====
[[Albert Camus]], mwanafalsafa wa [[Kifaransa]] toka [[Algeria]], ambaye mara nyingi anahusishwaanahusianishwa na [[udhanaishi]] lakini alilikataa neno hilo kabisa,<ref>{{cite book |last=Solomon |first=Robert C. |authorlink=Robert C. Solomon |title=From Rationalism to Existentialism: The Existentialists and Their Nineteenth Century Backgrounds |publisher=[[Rowman and Littlefield]] |date=2001 |page=245 |isbn=074251241X}}</ref> ni maarufu kwa kudokeza nadharia yake ya mkanganyiko. KulinganaMkanganyo nawa ukanganyikaji,hali kunaya ukosefubinadamu wani umojakwamba wawatu kimsingiwanatafuta unaotokanamaadili ya nje na kuwepomaana kwakatika ushirikianodunia waambayo binadamuhaina maana yoyote, na ulimwenguambayo haiwajali. MtuCamus anaanaandika hamukuhusu yawabatilivyote mpango,wa maanathamani kama Meusrault,<ref>Camus (1946) ''L'Etranger''</ref> na kusudipia kuhusu maadili katika maishaulimwengu wa kuyabatili yote, lakinikwamba ulimwenguwatu haujaliwanaweza badala yake kujitahidi kuwa "wabatilivyote wa kishujaa", wanaoishi na haunahadhi maana;wanapopambana mkanganyona unatokanamkanganyiko, kuishi kwa "utakatifu wa kidunia", [[mshikamano wa kindugu]], na mgogorokuuasi huuna kupambana dhidi ya kutojali kwa dunia.<ref>Camus (1955) ''The Myth of Sisyphus''</ref>
 
Kulingana na [[ukanganyikaji]], kuna ukosefu wa umoja wa kimsingi unaotokana na kuwepo kwa ushirikiano wa binadamu na ulimwengu. Mtu ana hamu ya mpango, maana, na kusudi katika maisha, lakini ulimwengu haujali na hauna maana; mkanganyo unatokana na mgogoro huu.
 
Kama viumbe vinavyotafuta matumaini katika dunia isiyokuwa na maana, Camus anasema kuwa binadamu wana njia tatu za kuutatua mtanziko.
Mstari 227:
 
==Mitazamo ya kidini==
Mitazamo ya kidini kuhusu maana ya maisha ni itikadi zile ambazo huelezea maisha katika kusudi lisilobainika wazi na ambalo halifafanuliwi na binadamu.
<!--Note: the following two commented sections were commented out when I re-classified the sections. It is preserved here in case someone can make use of it later-->
<!--The rise of [[universal religion]]s marks a shift from concerns about personal potential and relationships to the natural world, to a focus on more profound forms of devotion and all-inclusive salvation. In the Christian, Muslim, and Sikh faiths, this manifested as subjection to God: salvation was not a personal achievement, but rather a token of God's grace to be earned by the devout. Eastern traditions like Buddhism and Hinduism, likewise, moved from their primary focus on individual liberation to more abstract ideals of liberation for all. In all, this era magnified and generalized ideals of love, compassion, and relief of human suffering that had little or no place in earlier philosophy.-->
<!--Prior to the expansion of the major [[universal religion]]s - from the first or second centuries BCE to the sixth century CE, depending on the faith - the meaning of life was investigated in terms of human potential and the relationship of individuals to the natural world. Devotion to god or gods was an important aspect of some traditions, but was generally viewed in terms of personal development (as in the [[#Hindu views|Hindu]] relationship between atman and brahman, or as a social relationship, as in the [[#jewish view|Jewish covenant]]). Other traditions relied heavily on reason, discipline, or the development of other human faculties, either as meaningful in their own right, or as tools to reach other decisions.-->
 
===Dini za Magharibi na Mashariki ya Kati===
====Uzoroastro====
[[Uzoroastro]] ni dini na falsafa inayopata jina lake kutoka kwa [[nabii]] wake [[Zoroaster]], ambayo labda iliathiri imani za [[Uyahudi]] na dini zilitokana na Uyahudi. Wazoroastro wanaamini ulimwengu na Mungu apitaye fikra, [[Ahura Mazda]], ambaye [[ibada]] yote inaelekezwa kwake. Kiumbe cha Azhura Mazda ni asha, ukweli na mpango ambao unazozana na kinyume chake, druj, uwongo na machafuko.
 
Kwa sababu binadamu wana hiari, ni lazima wawe na uwajibikaji kwa maadili wanayoyachagua. Kwa kutumia hiari, watu lazima wawe na jukumu tendaji katika mgogoro wa dunia nzima, wawe na mawazo mema, maneno mema na matendo mema ili kuhakikisha furaha na kuepuka machafuko.
 
====Uyahudi====
Kipengele muhimu zaidi cha Uyahudi ni ibada ya [[Mungu]] mmoja anayejua yote, mwenye nguvu kuliko wote, ambaye ni [[mkarimu]] kila wakati, anayepita fikra zote, na ambaye [[uumbaji|aliumba]] ulimwengu na anautawala. Kulingana na Uyahudi wa awali, Mungu alifanya [[agano]] na [[Waisraeli]] katika [[mlima Sinai]], alipowapa sheria na amri zake zinazopatikana katika [[Torati]]. Katika Uyahudi wa Kirabi, Torati inajumuisha maandishi ya [[Torati]] na sheria ya [[mapokeo ya mdomo]] (iliyoandikwa baadaye kama maandiko matakatifu).
 
Katika mtazamo wa ulimwengu wa Kiyahudi, maana ya maisha ni kumtumikia Mungu pekee wa kweli na kujiandaa kwa [[ulimwengu ujao]].<ref name="Cohn-Sherbok">{{cite book |author=Dan Cohn-Sherbok |title=Judaism: History, Belief, and Practice |publisher=Routledge |year=2003 |isbn=0415236614}}</ref><ref name="Heschel">{{cite book |author=Abraham Joshua Heschel |title=Heavenly Torah: As Refracted Through the Generations |publisher=Continuum International Publishing Group |year=2005 |isbn=0826408028}}</ref> Fikira za "Olam Haba"<ref name="Shuchat">{{cite book |author=Wilfred Shuchat |title=The Garden of Eden & the Struggle to Be Human: According to the Midrash Rabbah |publisher=Devora Publishing |year=2006 |isbn=1932687319}}</ref> Inahusu kujiinua kiroho, ni mtu kutumia "Olam Hazeh" (dunia hii) kwa kuunganika na Mungu na kujiandaa kwa "Olam Haba" (ulimwengu ujao).
<ref name="Braham">{{cite book |author=Randolph L. Braham |title=Contemporary Views on the Holocaust |publisher=Springer |year=1983 |isbn=089838141X}}</ref>
 
====Ukristo====
[[File:Das Jüngste Gericht (Memling).jpg|thumb|right|240px|[[Picha]] ya [[Hans Memling]] inayoitwa ''[[Hukumu ya Mwisho]]'', inaonyesha [[Malaika mkuu]] [[Mikaeli]] akipima nafsi na kuwafukuza waliohukumiwa kuelekea [[jehanamu]].]]
 
Ingawa [[Ukristo]] una mizizi yake katika Uyahudi, na unafanana sana na [[ontolojia]] ya Uyahudi, imani kuu ya Ukristo inatokana na mafundisho ya [[Yesu Kristo]] yaliyotolewa katika [[Agano Jipya]]. Kusudi la maisha kwa Mkristo ni kutafuta [[wokovu]] wa Kimungu kupitia [[neema]] ya Mungu iliyoletwa na [[Yesu]] ([[Yoh]] 11:26).
 
Agano Jipya linaongea kuhusu Mungu kutaka uhusiano na binadamu wote katika maisha haya na yale yajao, jambo ambalo linaweza kufanyika tu kama [[dhambi]] za mtu zimesamehewa ([[Yoh]] 3:16-21), ([[2 Pet]] 3:9).
 
Katika mtazamo wa Kikristo, watu waliumbwa katika hali njema kwa mfano wa Mungu, lakini kuanguka kwao ([[dhambi ya asili]]) kulisababisha wanaozaliwa kuirithi dhambi hiyo.
 
[[Sadaka]] ya [[Yesu Kristo]] ya upendo, kifo na ufufuko hutoa njia ya kuishinda hali hiyo chafu ([[Rum]] 6:23).
 
Njia ya kufanya hivyo inatofautiana kati ya [[madhehebu]] mbalimbali ya Wakristo, lakini yote yanategemea imani kwa Yesu, kazi yake [[msalaba]]ni na [[ufufuko wa Yesu|kufufuka kwake]] kama msingi wa uhusiano mpya na Mungu. Chini ya mtazamo wa Ukristo, watu wanafanywa waadilifu kupitia imani katika [[kafara]] ya Yesu kufa msalabani.
 
[[Injili]] inafundisha kwamba, kupitia imani hiyo, kizuizi ambacho dhambi imeunda kati ya mtu na Mungu kinaondolewa, ili kumruhusu Mungu kuwageuza watu na kuweka ndani yao [[moyo mpya]] unaotii mapenzi yake, na uwezo wa kutii hivyo.
 
Hii ndiyo maana inayoashiriwa na maneno 'kuzaliwa upya' au 'kuokolewa'.
 
Jambo hili linatofautisha sana Ukristo na dini nyingine ambazo zinadai kwamba waumini ni waadilifu kwake Mungu kwa kushikamana na mwongozo au sheria waliyopewa na Mungu.
 
Katika "[[Katekisimu]] Fupi ya [[Westminster]]", swali la kwanza ni: "Ni nini lengo kuu la binadamu?". Jibu ni: "Lengo kuu la binadamu ni kumtukuza Mungu na kufurahi naye milele. Mungu anataka mtu atii sheria ya maadili aliyomwonyesha akisema tumpende Bwana Mungu wetu kwa moyo wetu wote, kwa roho yetu yote, kwa nguvu zetu zote, na kwa akili zetu zote; na majirani wetu kama sisi wenyewe".<ref>{{cite web |title=The Westminster Shorter Catechism |url=http://www.creeds.net/reformed/Westminster/shorter_catechism.html |accessdate=2008-03-21}}</ref>
 
Katekisimu ya [[Baltimore]] inajibu swali, "Kwa nini Mungu amekuumba?" ikisema "Mungu ameniumba ili nimjue, nimpende na kumtumikia katika dunia hii, na kuwa na heri pamoja naye milele mbinguni."<ref>{{cite web |title=The Baltimore Catechism |url=http://www.sacred-texts.com/chr/balt/balt1.htm |accessdate=2008-06-12}}</ref>
 
[[Mtume Paulo]] alijibu swali hilo katika hotuba yake kwenye [[Areopago]] mjini [[Athene]]: "Kutokana na mtu mmoja (Mungu) alifanya kila taifa la wanadamu, ili waishi duniani kote; akapima nyakati hasa zilizowekwa kwao na mahali ambapo wanapaswa kuishi. Mungu alifanya hivyo ili binadamu amtafute kama kwa kupapasa ili kumpata, ingawa hayupo mbali na kila mmojawetu. ([[Mdo]] 17:26-27)<ref>[[Bible]], [[Acts]] 17:26-27, [[NKJV]]</ref>
 
====Uislamu====
Katika [[Uislamu]], lengo kuu la maisha ya binadamu ni kumtumikia [[Allah]] (kwa Kiarabu sawa na "Mungu") na kukaa na miongozo ya Kimungu iliyofafanuliwa katika [[Qur'an]] na [[Mapokeo ya Mtume]]. Maisha ya duniani ni [[mtihani]] tu ambao huamua maisha ya mtu baada ya kifo, katika Jannat (Mbinguni) au katika Jahannum (Kuzimu).
 
Kwa ajili ya radhi ya Mwenyezi Mungu, kupitia Qur'ani, lazima Waislamu wote waamini katika Mungu, ufunuo wake, malaika wake, wajumbe wake, na katika "Siku ya Kiyama".<ref>{{cite quran|2|4|style=ref}}, {{cite quran|2|285|style=ref}}, {{cite quran|4|136|style=ref}}</ref> Qur'an inaelezea madhumuni ya uumbaji kama ifuatavyo: "Heri yeye ambaye mkononi mwake ana ufalme, yeye ana nguvu juu ya kila kitu, ambaye aliumba mauti na uhai ili apate kuchunguza nani kati yenu ndiye bora katika matendo, na yeye ni mwenyezi, Mwenye kusamehe "(Qur'an67 :1-2) na" 'Mimi tu niliumba malaika na binadamu kuniabudu Mimi "(Qur'an 51:56). Ibada inashuhudia kuwepo kwa umoja wa Mungu katika uongozi wake, majina yake, na sifa yake. maisha ya Duniani ni mtihani; jinsi mtu anavyotenda huamua kama nafsi ya mtu inakwenda Jannat (Mbinguni) au Jahannam (Motoni).
 
[[Nguzo Tano za Kiislamu]] ni [[wajibu]] wa kila Muislamu; yaani: [[Shahadah]] ([[ungamo la imani]]); [[Salah]] (Maombi); [[Zakah]] (ukarimu); [[Sawm]] (kufunga wakati wa Ramadhan) na [[Hajj]] ([[Hija]] kwenda [[Makka]]).<ref>{{cite encyclopedia | title=Pillars of Islam | encyclopedia=Encyclopaedia Britannica Online | accessdate=2007-05-02}}</ref> Zinatokana na maandiko ya [[Hadith]], hasa ya [[Sahih Al-Bukhari]] na [[Sahih Muslim]].
 
Imani ni tofauti kati ya Kalam. Dhana ya Kisunni ya mwisho wa safari iliyoamuliwa awali ni amri ya Kimungu;<ref>{{Muslim|1|1}}</ref> aidha, dhana ya Kishi'a ya nafsi kuwa na mahali pa kwenda kabla ya kifo ni haki ya Kimungu; katika mtazamo wa Kisufi unaoeleweka na wachache Ulimwengu upo tu kwa radhi ya Mungu; Uumbaji ni mchezo mkubwa, ambapo Mwenyezi Mungu ndiye tuzo kuu.<ref name="Yusuf Ali">{{cite book |author=[[Abdullah Yusuf Ali]] |title=[[Qur'an|The Holy Qur'an]] |publisher=Wordsworth Editions |year=2000 |isbn=1853267821}}</ref><ref name="Yusuf Ali" />
 
====Imani ya Bahá'í====
[[Imani ya Bahai]] inasisitiza umoja wa ubinadamu.<ref>{{Citation | year = 2007 | title = "Bahaism." The American Heritage Dictionary of the English Language | volume = Fourth Edition | publisher = Houghton Mifflin Company | url = http://dictionary.reference.com/browse/bahaism}}</ref> Kwa Wabahá'í, madhumuni ya maisha ni kukua kiroho na kutoa huduma kwa ubinadamu. Binadamu wanatazamwa kama viumbe wa kiroho kwa undani. Maisha ya watu katika dunia hii tunayoishi hutoa fursa zilizopanuliwa za kukua, kukuza sifa na fadhila za Kimungu, na manabii walitumwa na Mungu kuwezesha hili.<ref>{{cite book |last = Smith |first = P. |year = 1999 |title = A Concise Encyclopedia of the Bahá'í Faith |publisher = Oneworld Publications |location = Oxford, UK |pages = 325–328|isbn = 1851681841 }}</ref><ref>For a more detailed Bahá'í perspective, see {{Citation | title = "The Purpose of Life" Bahá'í Topics An Information Resource of the Bahá'í International Community| url = http://info.bahai.org/article-1-4-0-6.html}}</ref>
 
===Dini za Asia ya Kusini===
Line 329 ⟶ 276:
====Kalasinga====
[[File:Khanda.svg|thumb|110px|left|Ishara ya kidini ya Khanda, ambayo ni ishara muhimu ya dini ya Kalasinga.]]
 
Dini yenye Mungu mmoja ya [[Kalasinga]] ilianzishwa na [[Guru]] [[Nanak Dev]]. Neno "Kalasinga" linamaanisha mwanafunzi, kuashiria kwamba wafuasi wataishi maisha yao milele wakijifunza. Mfumo huu wa falsafa ya dini na kueleza imejulikana tangu jadi kama Gurmat (maana yake shauri la maguru) au Sikh Dharma. Wafuasi wa Kalasinga wametakaswa kuyafuata mafundisho ya maguru wa Sikh kumi, au viongozi wa kutaalamika, na pia maandiko matakatifu yaitwayo Gurū Granth Sāhib yanayojumuisha maandiko mbalimbali yaliyochaguliwa na wanafalsafa wengi kutoka mazingira mbalimbali ya kijamii, kiuchumi na kidini.
 
Line 354 ⟶ 300:
====Dini mpya====
Kuna harakati nyingi mpya za kidini katika Asia ya Mashariki, baadhi yao zikiwa na mamilioni ya wafuasi: Chondogyo, Tenrikyo, Cao Đài, na Seicho-No-ie. Dini mpya kawaida zina maelezo ya kipekee kuhusu maana ya maisha. Kwa mfano, katika Tenrikyo, mtu anatarajiwa kuishi Maisha ya Furaha kwa kushiriki katika mazoea yanayokuza furaha yake binafsi na pia ya watu wengine.
 
===Dini za Magharibi na Mashariki ya Kati===
====Uzoroastro====
[[Uzoroastro]] ni dini na falsafa inayopata jina lake kutoka kwa [[nabii]] wake [[Zoroaster]], ambayo labda iliathiri imani za [[Uyahudi]] na dini zilitokana na Uyahudi. Wazoroastro wanaamini ulimwengu na Mungu apitaye fikra, [[Ahura Mazda]], ambaye [[ibada]] yote inaelekezwa kwake. Kiumbe cha Azhura Mazda ni asha, ukweli na mpango ambao unazozana na kinyume chake, druj, uwongo na machafuko.
 
Kwa sababu binadamu wana hiari, ni lazima wawe na uwajibikaji kwa maadili wanayoyachagua. Kwa kutumia hiari, watu lazima wawe na jukumu tendaji katika mgogoro wa dunia nzima, wawe na mawazo mema, maneno mema na matendo mema ili kuhakikisha furaha na kuepuka machafuko.
 
====Uyahudi====
Kipengele muhimu zaidi cha Uyahudi ni ibada ya [[Mungu]] mmoja anayejua yote, mwenye nguvu kuliko wote, ambaye ni [[mkarimu]] kila wakati, anayepita fikra zote, na ambaye [[uumbaji|aliumba]] ulimwengu na anautawala. Kulingana na Uyahudi wa awali, Mungu alifanya [[agano]] na [[Waisraeli]] katika [[mlima Sinai]], alipowapa sheria na amri zake zinazopatikana katika [[Torati]]. Katika Uyahudi wa Kirabi, Torati inajumuisha maandishi ya [[Torati]] na sheria ya [[mapokeo ya mdomo]] (iliyoandikwa baadaye kama maandiko matakatifu).
 
Katika mtazamo wa ulimwengu wa Kiyahudi, maana ya maisha ni kumtumikia Mungu pekee wa kweli na kujiandaa kwa [[ulimwengu ujao]].<ref name="Cohn-Sherbok">{{cite book |author=Dan Cohn-Sherbok |title=Judaism: History, Belief, and Practice |publisher=Routledge |year=2003 |isbn=0415236614}}</ref><ref name="Heschel">{{cite book |author=Abraham Joshua Heschel |title=Heavenly Torah: As Refracted Through the Generations |publisher=Continuum International Publishing Group |year=2005 |isbn=0826408028}}</ref> Fikira za "Olam Haba"<ref name="Shuchat">{{cite book |author=Wilfred Shuchat |title=The Garden of Eden & the Struggle to Be Human: According to the Midrash Rabbah |publisher=Devora Publishing |year=2006 |isbn=1932687319}}</ref> Inahusu kujiinua kiroho, ni mtu kutumia "Olam Hazeh" (dunia hii) kwa kuunganika na Mungu na kujiandaa kwa "Olam Haba" (ulimwengu ujao).
<ref name="Braham">{{cite book |author=Randolph L. Braham |title=Contemporary Views on the Holocaust |publisher=Springer |year=1983 |isbn=089838141X}}</ref>
 
====Ukristo====
[[File:Das Jüngste Gericht (Memling).jpg|thumb|right|240px|[[Picha]] ya [[Hans Memling]] inayoitwa ''[[Hukumu ya Mwisho]]'', inaonyesha [[Malaika mkuu]] [[Mikaeli]] akipima nafsi na kuwafukuza waliohukumiwa kuelekea [[jehanamu]].]]
 
Ingawa [[Ukristo]] una mizizi yake katika Uyahudi, na unafanana sana na [[ontolojia]] ya Uyahudi, imani kuu ya Ukristo inatokana na mafundisho ya [[Yesu Kristo]] yaliyotolewa katika [[Agano Jipya]]. Kusudi la maisha kwa Mkristo ni kutafuta [[wokovu]] wa Kimungu kupitia [[neema]] ya Mungu iliyoletwa na [[Yesu]] ([[Yoh]] 11:26).
 
Agano Jipya linaongea kuhusu Mungu kutaka uhusiano na binadamu wote katika maisha haya na yale yajao, jambo ambalo linaweza kufanyika tu kama [[dhambi]] za mtu zimesamehewa ([[Yoh]] 3:16-21), ([[2 Pet]] 3:9).
 
Katika mtazamo wa Kikristo, watu waliumbwa katika hali njema kwa mfano wa Mungu, lakini kuanguka kwao ([[dhambi ya asili]]) kulisababisha wanaozaliwa kuirithi dhambi hiyo.
 
[[Sadaka]] ya [[Yesu Kristo]] ya upendo, kifo na ufufuko hutoa njia ya kuishinda hali hiyo chafu ([[Rum]] 6:23).
 
Njia ya kufanya hivyo inatofautiana kati ya [[madhehebu]] mbalimbali ya Wakristo, lakini yote yanategemea imani kwa Yesu, kazi yake [[msalaba]]ni na [[ufufuko wa Yesu|kufufuka kwake]] kama msingi wa uhusiano mpya na Mungu. Chini ya mtazamo wa Ukristo, watu wanafanywa waadilifu kupitia imani katika [[kafara]] ya Yesu kufa msalabani.
 
[[Injili]] inafundisha kwamba, kupitia imani hiyo, kizuizi ambacho dhambi imeunda kati ya mtu na Mungu kinaondolewa, ili kumruhusu Mungu kuwageuza watu na kuweka ndani yao [[moyo mpya]] unaotii mapenzi yake, na uwezo wa kutii hivyo.
 
Hii ndiyo maana inayoashiriwa na maneno 'kuzaliwa upya' au 'kuokolewa'.
 
Jambo hili linatofautisha sana Ukristo na dini nyingine ambazo zinadai kwamba waumini ni waadilifu kwake Mungu kwa kushikamana na mwongozo au sheria waliyopewa na Mungu.
 
Katika "[[Katekisimu]] Fupi ya [[Westminster]]", swali la kwanza ni: "Ni nini lengo kuu la binadamu?". Jibu ni: "Lengo kuu la binadamu ni kumtukuza Mungu na kufurahi naye milele. Mungu anataka mtu atii sheria ya maadili aliyomwonyesha akisema tumpende Bwana Mungu wetu kwa moyo wetu wote, kwa roho yetu yote, kwa nguvu zetu zote, na kwa akili zetu zote; na majirani wetu kama sisi wenyewe".<ref>{{cite web |title=The Westminster Shorter Catechism |url=http://www.creeds.net/reformed/Westminster/shorter_catechism.html |accessdate=2008-03-21}}</ref>
 
Katekisimu ya [[Baltimore]] inajibu swali, "Kwa nini Mungu amekuumba?" ikisema "Mungu ameniumba ili nimjue, nimpende na kumtumikia katika dunia hii, na kuwa na heri pamoja naye milele mbinguni."<ref>{{cite web |title=The Baltimore Catechism |url=http://www.sacred-texts.com/chr/balt/balt1.htm |accessdate=2008-06-12}}</ref>
 
[[Mtume Paulo]] alijibu swali hilo katika hotuba yake kwenye [[Areopago]] mjini [[Athene]]: "Kutokana na mtu mmoja (Mungu) alifanya kila taifa la wanadamu, ili waishi duniani kote; akapima nyakati hasa zilizowekwa kwao na mahali ambapo wanapaswa kuishi. Mungu alifanya hivyo ili binadamu amtafute kama kwa kupapasa ili kumpata, ingawa hayupo mbali na kila mmojawetu. ([[Mdo]] 17:26-27)<ref>[[Bible]], [[Acts]] 17:26-27, [[NKJV]]</ref>
 
====Uislamu====
Katika [[Uislamu]], lengo kuu la maisha ya binadamu ni kumtumikia [[Allah]] (kwa Kiarabu sawa na "Mungu") na kukaa na miongozo ya Kimungu iliyofafanuliwa katika [[Qur'an]] na [[Mapokeo ya Mtume]]. Maisha ya duniani ni [[mtihani]] tu ambao huamua maisha ya mtu baada ya kifo, katika Jannat (Mbinguni) au katika Jahannum (Kuzimu).
 
Kwa ajili ya radhi ya Mwenyezi Mungu, kupitia Qur'ani, lazima Waislamu wote waamini katika Mungu, ufunuo wake, malaika wake, wajumbe wake, na katika "Siku ya Kiyama".<ref>{{cite quran|2|4|style=ref}}, {{cite quran|2|285|style=ref}}, {{cite quran|4|136|style=ref}}</ref> Qur'an inaelezea madhumuni ya uumbaji kama ifuatavyo: "Heri yeye ambaye mkononi mwake ana ufalme, yeye ana nguvu juu ya kila kitu, ambaye aliumba mauti na uhai ili apate kuchunguza nani kati yenu ndiye bora katika matendo, na yeye ni mwenyezi, Mwenye kusamehe "(Qur'an67 :1-2) na" 'Mimi tu niliumba malaika na binadamu kuniabudu Mimi "(Qur'an 51:56). Ibada inashuhudia kuwepo kwa umoja wa Mungu katika uongozi wake, majina yake, na sifa yake. maisha ya Duniani ni mtihani; jinsi mtu anavyotenda huamua kama nafsi ya mtu inakwenda Jannat (Mbinguni) au Jahannam (Motoni).
 
[[Nguzo Tano za Kiislamu]] ni [[wajibu]] wa kila Muislamu; yaani: [[Shahadah]] ([[ungamo la imani]]); [[Salah]] (Maombi); [[Zakah]] (ukarimu); [[Sawm]] (kufunga wakati wa Ramadhan) na [[Hajj]] ([[Hija]] kwenda [[Makka]]).<ref>{{cite encyclopedia | title=Pillars of Islam | encyclopedia=Encyclopaedia Britannica Online | accessdate=2007-05-02}}</ref> Zinatokana na maandiko ya [[Hadith]], hasa ya [[Sahih Al-Bukhari]] na [[Sahih Muslim]].
 
Imani ni tofauti kati ya Kalam. Dhana ya Kisunni ya mwisho wa safari iliyoamuliwa awali ni amri ya Kimungu;<ref>{{Muslim|1|1}}</ref> aidha, dhana ya Kishi'a ya nafsi kuwa na mahali pa kwenda kabla ya kifo ni haki ya Kimungu; katika mtazamo wa Kisufi unaoeleweka na wachache Ulimwengu upo tu kwa radhi ya Mungu; Uumbaji ni mchezo mkubwa, ambapo Mwenyezi Mungu ndiye tuzo kuu.<ref name="Yusuf Ali">{{cite book |author=[[Abdullah Yusuf Ali]] |title=[[Qur'an|The Holy Qur'an]] |publisher=Wordsworth Editions |year=2000 |isbn=1853267821}}</ref><ref name="Yusuf Ali" />
 
====Imani ya Bahá'í====
[[Imani ya Bahai]] inasisitiza umoja wa ubinadamu.<ref>{{Citation | year = 2007 | title = "Bahaism." The American Heritage Dictionary of the English Language | volume = Fourth Edition | publisher = Houghton Mifflin Company | url = http://dictionary.reference.com/browse/bahaism}}</ref> Kwa Wabahá'í, madhumuni ya maisha ni kukua kiroho na kutoa huduma kwa ubinadamu. Binadamu wanatazamwa kama viumbe wa kiroho kwa undani. Maisha ya watu katika dunia hii tunayoishi hutoa fursa zilizopanuliwa za kukua, kukuza sifa na fadhila za Kimungu, na manabii walitumwa na Mungu kuwezesha hili.<ref>{{cite book |last = Smith |first = P. |year = 1999 |title = A Concise Encyclopedia of the Bahá'í Faith |publisher = Oneworld Publications |location = Oxford, UK |pages = 325–328|isbn = 1851681841 }}</ref><ref>For a more detailed Bahá'í perspective, see {{Citation | title = "The Purpose of Life" Bahá'í Topics An Information Resource of the Bahá'í International Community| url = http://info.bahai.org/article-1-4-0-6.html}}</ref>
 
==Katika sanaa==
Siri ya maisha na maana yake ni jambo linalorudiwa mara nyingi katika utamaduni maarufu, unaoonyeshwa katika [[burudani]] ya [[vyombo vya habari]] na aina mbalimbali za [[sanaa]].
 
[[File:Allisvanity.jpg|thumb|120px|''Yote ni bure'', picha ya [[Charles Allan Gilbert]], ni mfano wa ''vanitas''. Inaonyesha mwanamke akitazama uso wake katika kioo, lakini vyote vimepangwa ili kuifanya picha ya kifuvu kuonekana.]]
Katika mfululizo maarufu wa vitabu vya kuchekesha vya [[Douglas Adams]] kwa jina "The Hitchhiker's Guide to the Galaxy", Jibu la Swali Kuu la Maisha, Ulimwengu, na Yote lina ufumbuzi wa kinambari wa 42, ambayo ilipatikana baada ya muda wa zaidi ya miaka milioni saba na nusu kupitia tarakilishi yenye nguvu kubwa kwa jina "Deep Thought". Baada ya kunganyika kwingi kutoka wazao wa waumbaji wake, "Deep Thought" anaelezea kuwa tatizo ni kuwa hawajui Swali Kuu, na ingewabidi kujenga [[kompyuta]] yenye nguvu zaidi ili kulibainisha. Kompyuta inaonyeshwa kuwa [[Dunia]], ambayo, baada ya kuhesabu kwa miaka milioni, inaharibiwa ili kuunda Barabara ya Kiulimwengu dakika tano kabla ya kukamilisha kufanya hesabu.<ref name="Yeffeth"/><ref name="Baggini" /><ref name="Badke"/><ref name="Adams H2G2 book1">{{cite book|title=[[The Hitchhiker's Guide to the Galaxy (book)|The Hitchhiker's Guide to the Galaxy]]|author=[[Douglas Adams]]|published=1979|isbn=0-330-25864-8|year=1979|publisher=Pan Books|location=London}}</ref> Katika Maisha, Ulimwengu na Kila kitu, inathibitishwa kwa kweli kuwa 42 ndilo Jibu Kuu, na kwamba haiwezekani kwa Jibu Kuu na Swali Kuu kujulikana katika ulimwengu mmoja, kwani zitafutana na kuuchukua ulimwengu, na kubadilishwa na kitu cha maajabu zaidi,(mhusika mmoja, Prak, anapendekeza kwamba hili huenda likawa limetokea tayari).<ref name="Adams H2G2 book3">{{cite book|isbn=0-330-26738-8|title=[[Life, the Universe and Everything]]|author=[[Douglas Adams]]|published=1982|year=1982|publisher=Pan|location=London}}</ref> Hatimaye, katika matumaini kwamba fahamu yake ina swali, Arthur Dent anajaribu kuliwaza swali, na anapata "unapata nini ukizidisha sita mara tisa?", Pengine ni dhana isiyosahihi, kwani kuwasili kwa "Golgafrinchans" katika Dunia ya kabla ya historia ingeharibu mchakato wa kuhesabu.<ref name="Adams H2G2 book2">{{cite book|title=[[The Restaurant at the End of the Universe]]|author=[[Douglas Adams]]|date=1 Januari 1980|isbn=0-345-39181-0|publisher=Ballantine Books|location=New York}}</ref> Hata hivyo, Dent, Fenchurch, na Marvin anayekaribia kufa waliona ujumbe wa mwisho wa Mungu kwa uumbaji wake: "Sisi tunaomba msamaha kwa shida tuliyowaletea".<ref name="Adams H2G2 book4">{{cite book|isbn=0-330-28700-1|title=[[So Long, and Thanks for All the Fish]]|author=[[Douglas Adams]]|published=1984|year=1985|publisher=Pan|location=London}}</ref>
 
[[File:HamletSkullHCSealous.jpg|thumb|left|150px|Hamlet na fuvu la kichwa la Yorick]]
Katika mfululizo maarufu wa vitabu vya kuchekesha vya Douglas Adams kwa jina "The Hitchhiker's Guide to the Galaxy", Jibu la Swali Kuu la Maisha, Ulimwengu, na Yote lina ufumbuzi wa kinambari wa 42, ambayo Ilipatikana baada ya muda wa zaidi ya miaka milioni saba na nusu kupitia tarakilishi yenye nguvu kubwa kwa jina "Deep Thought". Baada ya kunganyika kwingi kutoka wazao wa waumbaji wake, "Deep Thought" anaelezea kuwa tatizo ni kuwa hawajui Swali Kuu, na ingewabidi kujenga kompyuta yenye nguvu zaidi ili kulibainisha. Kompyuta inaonyeshwa kuwa [[Dunia]], ambayo, baada ya kuhesabu kwa miaka milioni, inaharibiwa ili kuunda Barabara ya Kiulimwengu dakika tano kabla ya kukamilisha kufanya hesabu.<ref name="Yeffeth"/><ref name="Baggini" /><ref name="Badke"/><ref name="Adams H2G2 book1">{{cite book|title=[[The Hitchhiker's Guide to the Galaxy (book)|The Hitchhiker's Guide to the Galaxy]]|author=[[Douglas Adams]]|published=1979|isbn=0-330-25864-8|year=1979|publisher=Pan Books|location=London}}</ref> Katika Maisha, Ulimwengu na Kila kitu, inathibitishwa kwa kweli kuwa 42 ndilo Jibu Kuu, na kwamba haiwezekani kwa Jibu Kuu na Swali Kuu kujulikana katika ulimwengu mmoja, kwani zitafutana na kuuchukua ulimwengu, na kubadilishwa na kitu cha maajabu zaidi,(mhusika mmoja, Prak, anapendekeza kwamba hili huenda likawa limetokea tayari).<ref name="Adams H2G2 book3">{{cite book|isbn=0-330-26738-8|title=[[Life, the Universe and Everything]]|author=[[Douglas Adams]]|published=1982|year=1982|publisher=Pan|location=London}}</ref> Hatimaye, katika matumaini kwamba fahamu yake ina swali, Arthur Dent anajaribu kuliwaza swali, na anapata "unapata nini ukizidisha sita mara tisa?", Pengine ni dhana isiyosahihi, kwani kuwasili kwa "Golgafrinchans" katika Dunia ya kabla ya historia ingeharibu mchakato wa kuhesabu.<ref name="Adams H2G2 book2">{{cite book|title=[[The Restaurant at the End of the Universe]]|author=[[Douglas Adams]]|date=1 Januari 1980|isbn=0-345-39181-0|publisher=Ballantine Books|location=New York}}</ref> Hata hivyo, Dent, Fenchurch, na Marvin anayekaribia kufa waliona ujumbe wa mwisho wa Mungu kwa uumbaji wake: "Sisi tunaomba msamaha kwa shida tuliyowaletea".<ref name="Adams H2G2 book4">{{cite book|isbn=0-330-28700-1|title=[[So Long, and Thanks for All the Fish]]|author=[[Douglas Adams]]|published=1984|year=1985|publisher=Pan|location=London}}</ref>
 
[[File:HamletSkullHCSealous.jpg|thumb|left|150px|Hamlet na Kifuvu cha Yorick]]
 
Katika maana ya maisha ya Monty Python,kuna kugusia kwingi kwa maana ya maisha. Katika "Sehemu ya VI B: Maana ya Maisha" mwanamke anayefanya kazi ya kusafisha anaelezea "Maisha ni mchezo, wakati mwingine unashinda au kushindwa" na baadaye mtu wa kupelekea watu vyakula hotelini anaelezea falsafa yake ya kibinafsi "Dunia ni pahali pazuri. Lazima uende ndani yake, na upende kila mtu, usiwachukie watu. Lazima hujaribu na kumfanya kila mtu awe na furaha, na upeleke amani na ridhaa kokote uendapo.<ref name="useless website">[http://www.intriguing.com/mp/_scripts/meanlife.asp Monty Python's Completely Useless Web Site: Monty Python's The Meaning Of Life: Complete Script]</ref> Katika mwisho wa filamu, tunaweza kumuona Michael Palin akipewa bahasha, anaifungua, na kupea watazamaji 'maana ya maisha': "Basi, si kitu maalumu sana. Uh, jaribu kuwa mzuri kwa watu, epuka kula mafuta, soma kitabu kizuri kila wakati, pata kutembea, na jaribu kuishi pamoja kwa amani na utulivu na watu wa Imani zote na mataifa yote.<ref name="useless website" /><ref name="Burnham">{{cite book |author=Terry Burnham |title=Mean Markets and Lizard Brains: How to Profit from the New Science of Irrationality |publisher=John Wiley and Sons |year=2005 |isbn=0471716952}}</ref><ref name="Fernandez">{{cite book |author=Yolanda Fernandez |title=In Their Shoes: Examining the Issue of Empathy and Its Place in the Treatment of Offenders |publisher=Wood 'N' Barnes Publishing |year=2002 |isbn=1885473486}}</ref>
 
Katika kipindi Kimojakimoja cha "The Simpsons" kilichoitwa "Homer the Heretic", mfano wa Mungu unakubali kumwambia Homer maana ya maisha, lakini majina ya wahusika wa kipindi yanaanza kuonekana anapoanza kusema ni nini. Mapema katika kipindi hicho, Homer anaanzisha dini yake mwenyewe, ambapo anajaribu kumwabudu Mungu kwa njia yake mwenyewe, baadaye akimwwambia Moe kwamba dini hiyo haina kuzimu na haina kupiga magoti. Hata hivyo, Homer anaiacha kwa haraka dini yake ya anasa na ubinafsi baada baada ya nyumba yake kunusurika kuchomeka, akitafsiri moto kama ishara ya kulipiza kisasi kwa kimungu, na kuita "O Mwenye Nguvu za Kuumiza, nionyeshe nani wa kuumiza, naye ataumizwa." Ned anamfariji Homer kuwa moto haukuwa kisasi cha Mungu na Lovejoy anaelezea kwamba Mungu alikuwa "akifanya kazi katika mioyo ya marafiki na majirani wako walipokuja kukusaidia."<ref name="Pinsky">{{cite book|author=Mark I. Pinsky|title=The Gospel According To The Simpsons: The Spiritual Life Of The World's Most Animated Family|publisher=Westminster John Knox Press|year=2001|isbn=0664224199}}</ref>
 
Mwishoni mwa "The Matrix Revolutions", Smith anahitimsha kwamba "madhumuni ya maisha ni kuisha" na anakusudia kuharakisha lengo hilo.<ref name="Lawrence">{{cite book|author=Matt Lawrence|title=Like a Splinter in Your Mind: The Philosophy Behind the Matrix Trilogy|publisher=Blackwell Publishing|year=2004|isbn=1405125241}}</ref> [[The Matrix (series)|''The Matrix'' series]]. Mfululizo wa filamu wa "The Matrix" pia unatoa wazo la "wanaoishi katika ukweli uliobuniwa" na swali linalohusika na wazo hilo ikiwa kuwepo huko kunafaa kutazamwa kama kusiokuwa na maana, katika njia inayoweza kulinganishwa na Hadithi fupi yenye mafunzo ya pango ya Plato na jinsi baadhi ya mifumo ya imani hutazama ukweli, kama Ubuddha au Uaginostiki.<ref>Christopher Grau (2005). Philosophers Explore the Matrix. Oxford University Press.</ref>
Line 374 ⟶ 368:
* [[Maisha]]
* [[Ubora wa maisha]]
* [[Uhai]]
* [[Ulimwengu]]
* [[Teleolojia]]
Line 411 ⟶ 406:
[[Jamii:Dini]]
[[Jamii:Falsafa]]
[[Jamii:Elimu jamii]]