Spider-Man : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d clean up using AWB
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Spiderman warner.jpg|alt=|thumb|341x341px|Spiderman.]]
'''Spider-Man''' ni jina la [[shujaa]] wa kubuni anayeonekana katika [[vitabu]] vya [[vibonzo]] vya [[Marekani]] vilivyochapishwa na [[Marvel Comics]]. Tangu 1977 ilianza mfululizo wa TV wa Speder-Man. Lakini tangu miaka ya 2000 kumekuwa na filamu zake nyingi tu zilizochezwa kama Spider-Man lakini maarufu zaidi iliyocheza na Tobey Maguire mwaka 2002, 2004 na 2007 ambazo kwa pamoja ziliitwa trlilojia ya Spider-Man chini ya uongozi wake "[[Sam Raimi]]". Baadaye zikaibuliwa tena na mwongozaji Marc Webb kwa ajili ya 2012, The Amazing Spider-Man na The Amazing Spider-Man 2 chini ya mwigizaji "[[Andrew Garfield]]" kabla kutemwa rasmi na kuibuliwa tena mwaka 2017 na Spider-Man: Homecoming ambamo ndani yake kacheza "Tom Holland" ambaye alionekana kwanza kwenye Captain America: Civil War 2016 kabla kuja rasmi kama Spider-Man mpya 2017 na 2018 Avengers: Infinity War na nyingine ambayo itatoka 2019.