Biashara : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 60:
Katika baadhi ya biashara maalumu, kuna leseni maalum zinazoitajika, aidha kutokana na sheria maalum kujihusisha na biashara fulani, kazi au taaluma, ambayo inaweza kuhitaji elimu maalumu, au kwa serikali za mitaa. Taaluma ambazo zinahitaji leseni maalumu mbalimbali ni kama vile sheria, udaktari kuuza vileo,rubani , utangazaji redio ,kuuza dhamana za uwekezaji, kuuza magari yaliyotumika na kadhalika. Sheria za serikali za mitaa pia zinahitaji leseni na kodi maalum ili kuendesha biashara ya aina yoyote.
 
Hizi ni pamoja na viwanda, kwa mfano, huduma za umma, huduma za kituo cha wito maalum<ref>{{Cite web|url=https://www.remotecallcenter.net/what-are-outbound-call-center-services/|title=Outbound Call Center Services– Call us now 404-990-4639.|author=Remote Call Center Net 2018|language=en-US|work=www.remotecallcenter.net|accessdate=2018-07-27}}</ref>, uwekezaji wa dhamana, mabenki, bima, utangazaji, hewa, na watoa huduma za afya.
Baadhi ya biashara ziko chini ya sheria zinazoendelea kuundwa. Hizi ni pamoja na viwanda, kwa mfano, huduma za umma, uwekezaji amana, benki, bima, utangazaji, anga, na watoa huduma za afya. Kanuni za mazingira pia ni ngumu sana na zinaweza kuathiri biashara za aina nyingi katika njia zisizotarajiwa.
 
===Fedha za kuanzisha na kuendesha biashara===