Tofauti kati ya marekesbisho "Biashara"

45 bytes removed ,  miaka 3 iliyopita
no edit summary
'''Biashara''' (kutoka [[neno]] la [[Kiarabu]]) ni shughuli au mchakato wa kununua na kuuza [[mali]] au [[Kitu|vitu]]. Inaweza kufanywa na mtu binafsi au kwa ushirikiano au na [[jamii]] au nchi kwa jumla.
 
==Umiliki==
Ingawa [[umiliki]] wa aina ya biashara hutofautiana kwa [[mamlaka]]mujibu yawa [sheria]], kuna aina kadhaa za kawaida:
* '''Biashara ya mtu binafsi:''' Hii ni biashara inayomilikiwa na mtu mmoja. Mmiliki anaweza kuiendesha biashara hii yeye binafsi au pia anaweza kuwaajiri wafanyikazi kumsaidia. Mmiliki wa biashara ina [[dhima]] ya binafsi ya madeni inayodaiwa biashara.
* '''Biashara ya ushirikiano:''' Hii ni aina ya biashara inayomilikiwa na watu wawili au zaidi kwa pamoja. Katika aina nyingi za ushirikiano , kila mmiliki ana dhima ya binafsi ya madeni yanayodaiwa biashara yao.
* '''Kampuni:''' Hii ni aina ya biashara ambapo wamiliki wa biashara zenyewe hawana dhima ya kibinafsi ya madeni ya biashara yenyewe. Biashara inaweza kuwa ya kutafuta faida au isiwe ya kutafuta faida. Kampuni nyingi zinamilikiwa na wenye hisa na shughuli zake husimamiwa na [[bodi ya wakurugenzi,]] ambayo huwaajiri wasimamizi wa biashara yenyewe. Pia kuna [[kampuni zinazomilikiwa na serikali]] mbali na ziolezile zinazomiliokiwa na watu binafsi.
* '''Vyama vya Ushirika:''' Vyama vya Ushirika ni aina ya biashara ambayo pia kama kampuni wamiliki wake hawana dhima ya kibinafsi kwa madeni ya biashara ambayo lengo lake ni kutafuta faida au isiwe ya kutafuta faida. Vyama vya Ushirika hutofautiana na kampuni kwa kuwa vina wanachama, kinyume na wenye hisa katika kampuni, ambao hushirikishwa katika maamuzi ya chama chenyewe. Vyama vya ushirika kwa kawaida hugawanywa kama[[Vyama vya Ushirika vya wateja]] au [[Vyama vya Ushirika vya Wafanyikazi]] . Vyama vya ushirika ni mojawapo ya misingi wa itikadi ya [[demokrasia ya kiuchumi]].
 
==Aina za Biashara==
Kuna aina nyingi za biashara, na kwa sababu hiyo, biashara huwekwa kwenye makundi kwa kutumia njia nyingi. Moja ya aina hizi inalengabinalenga shughuli za msingi za kibiashara zinazozalisha faida kwa biashara yenyewe:
 
* [[Kilimo]] na biashara ya [[uchimbaji madini]] hushughulika na uzalishaji wa malighafi, kama vile mimea au madini.
* Pia kuna makampuni yanayotoa huduma ya umma, kama vile joto, umeme, au uzoaji taka, na kwa kawaida huwa ni mashirika ya kiserikali.
 
Kuna mingawanyikomigawanyiko mingine mingi ya aina za biashara.
 
==Usimamizi==
Ufanisi na umafanikio yawa [[uendeshaji wa biashara,]], na kujifunza somo hili, huitwa [[usimamizi.]]. Matawi makuu ya usimamizi ni : [[usimamizi wa fedha]], [[usimamizi wa masoko]], [[usimamizi wa rasilimali za binadamuwatu]], [[usimamizi wa mikakati ]], [[usimamizi wa uzalishaji ,]], [[usimamizi wa huduma]] ,na [[usimamizi wa teknolojia ya habari]].
 
===Kurekebisha Mashirika ya Kitaifa===
Katika miongo ya hivi karibuni, mali na makampuni ambayo yalikuwa yakiendeshwa na mataifa mbalimbali yamekuwa yamebadilishwa na kufuata mtindo wa makampuni ya kibiashara. Katika mwaka wa 2003, [[Jamhuri ya Watu wa Uchina]] ilibadilisha 80[[%]] ya makampuni yanayomilikiwa na serikali na kuyaweka kwenye mfumo sawa na mashirika ya kibiashara.<ref>http://english.people.com.cn/data/China_in_brief/Economy/Major% 20Industries.html</ref>
 
==Usimamizi wa Serikali==
[[File:London.bankofengland.arp.jpg|thumb|250px|Benki Kuu ya England katika Threadneedle Street, London, Uingereza.]]
Mamlaka mengi ya kisherianyingi hutoa sheria zinazoelekeza umiliki wa biashara na jinsi biashara inavyoendeshwa katika taifa husika.
 
===Mpangilio===
Mambo makubwa yanayoathiri mpangilio wa biashara ni kama vile:
 
* '''Ukubwa wa biashara''' na matarajio ya usimamizi na umiliki. kwa ujumla biashara ndogo zinaweza kubadilika kwa urahisi , ilhali biashara kubwa, au zile zenye umiliki mpana au miundo rasmi, kwa kawaida upangiliwa kama ubia au makampuni. Aidha biashara ambayo inataka kuongeza fedha kwenye [[soko la hisa]] au kuwa inamilikiwa na watu anuwai mara nyingi inatakiwa upangile kwa mfumo maalumu wa kisheria ili kufanya hivyo.
* '''Sekta na nchi.''' Biashara za binafsi zenye malengo ya kupata faida ni tofauti na biashara zinazomilikiwa na serikali. Katika baadhi ya nchi, baadhi ya biashara ni wajibu wa kisheria na mpangilio fulani.
* '''[[Dhima ya binafsi]]'''. [[Makampuni]] na baadhi ya biashara zingine huwalinda wamiliki wake dhidi ya kupoteza mali yao wakati biashara inaposhindwa kulipa madeni yake kwa kuifanya kiungo tofauti na wao wenyewe kinacho tambulika kisheria. Kwa kulinganisha, biashara zingine zilizomilikiwa na watu binafsi au na idadi chache ya watu huwa hazijalindwa hivi kisheria.
* '''Faida katika ulipaji wa kodi.''' Miundo tofauti tofauti katika sheria za kodi hushughulikiwa vitofauti, na huenda jambo hili likailetea biashara yenyewe faida.
* '''Mahitaji ya uwazi.''' Miundo tofauti ya biashara huitajika kutoa kiwango fulani cha habari kwa umma (au kuripoti kwa mamlaka husika),na huitajika kutimiza marshati tofauti tofauti.
 
Watu wawili au zaidi wanaoendesha biashara kwa pamoja lakini wameshindwa kuandaa jinsi maalum ya kujiendesha, wataonekana kama ushirikiano wa ujumla. Sheria ya ushirika ni sehemu ya usimamizi kwa makubaliano ya ushirikiano ikiwa moja imeundwa, na sehemu kwa sheria ya mamlaka ambapo ushirikiano hupo.
#Kwa ujumla, makampuni huhitajika kulipa kodi kama watu "halisi" . Katika baadhi ya mifumo ya kodi, hii inaweza kuleta hali inayojulikana kama [[kodi maradudfu]] kwa sababu kwanza biashara hulipia kodi ya faida, na kisha wakati shirika linasambaza faida zake kwa wamiliki wake, watu binafsi pia hulipa kodi ya mapato.
#Katika nchi nyingi, kuna sheria ambazo huchukulia makampuni makubwa makubwa tofauti na biashara dogo dogo. Zinaweza kuepuka kutimiza marshati fulani,kurahisishwa kwa baadhi ya shughuli na njia tofauti ya kulipa kodi.
#"Kwenda umma" (wakati mwingine huitwa [['IPO')]]) - ambayo ina maana ya kuruhusu sehemu ya biashara kuwa inamilikiwa na wawekezaji kwa upana au wananchi kwa ujumla-ni lazima kuandaa mfumo tofauti, ambayo ni kawaida ya sheria na taratibu.
 
===Sheria za biashara===
Shughuli nyingi za kibiashara hufuata sheria maaalum ambazo zimechukua muda mrefu kuuundwa na zinaendelea kurekebishwa kulingana na hali halisi.
 
Kama sheria nyingine zinazoadhiri shughuli za kibiashara, katika nchi nyingi ni vigumu kuzirejelea sheria hizi katika mahala pamoja. Kuna sheria zinazosimamia mambo ya kazi na kwa ujumla mahusiano na wafanyakazi, usalama na masuala ya ulinzi ('[[OSHA]]' au [[Afya na Usalama]]), sheria za kutobagua (umri, jinsia, ulemavu, kabila, na katika baadhi ya utawala, maswala ya ngono), mshahara wa chini kabisa, [[muungano wa]] sheria, sheria za fidia ya wafanyakazi, na likizo za kimwaka au wakati wa kazi.
 
Katika baadhi ya biashara maalumu, kuna leseni maalum zinazoitajika, aidha kutokana na sheria maalum kujihusisha na biashara fulani, kazi au taaluma, ambayo inaweza kuhitaji elimu maalumu, au kwa serikali za mitaa. Taaluma ambazo zinahitaji leseni maalumu mbalimbali ni kama vile sheria, udaktari, kuuza vileo,rubani rubani, utangazaji redio , kuuza dhamana za uwekezaji, kuuza magari yaliyotumika na kadhalika. Sheria za serikali za mitaa pia zinahitaji leseni na kodi maalum ili kuendesha biashara ya aina yoyote.
 
Hizi ni pamoja na viwanda, kwa mfano, huduma za umma, huduma za kituo cha wito maalum<ref>{{Cite web|url=https://www.remotecallcenter.net/what-are-outbound-call-center-services/|title=Outbound Call Center Services– Call us now 404-990-4639.|author=Remote Call Center Net 2018|language=en-US|work=www.remotecallcenter.net|accessdate=2018-07-27}}</ref>, uwekezaji wa dhamana, mabenki, bima, utangazaji, hewa, na watoa huduma za afya.
 
===Fedha za kuanzisha na kuendesha biashara===
Wakati biashara zinataka kuchangisha fedha fedha (iitwayo '[[mtaji]]'), sheria zaidi huhusika. Sheria na kanuni nyingi huelekeza jinsi ya kuuza [[dhamana za]] za uwekezaji (njia ya kuongeza fedha) katika nchi nyingi za Magharibi . Kanuni hizi zinaweza kuhitaji kuweka wazi mambo mengi kuhusiana na maswala ya kifedha ya kampuni husika na hivyo kuwapa wanunuzi 'remedies'. Kwa sababu "dhamana" ni neno pana sana, shughuli nyingi za uwekezaji huweza kuwa chini ya sheria hizi, isipokuwa katika visa maalum.
 
Fedha zinaweza kupatikana kupitia njia za binafsi, kwa kutoa hisa kwa umma ('IPO') kwenye [[soko la hisa]], au kwa njia nyingine nyingi. Baadhi ya masoko ya hisa ni kama vile Shanghai Stock Exchange, Singapore Exchange, Hong Kong Stock Exchange, [[New York Stock Exchange]] na [[Nasdaq]] (Marekani), [[London Stock Exchange]] (Uingereza), wa [[Tokyo Stock Exchange]] (Ujapani), na kadhalika.
 
Biashara ambazo zimefanywa za "umma" na usimamamizi mwingi sana kuhusu utawala wa ndani (kama jinsi malipo ya maafisa watendaji hudhamiriwa) na wakati na jinsi habari ni wazi kwa umma zao na wanahisa. Huko Marekani, kanuni hizi za kimsingi kusisitizwa na kutekelezwa na 'United States Securities and Exchange Commission' (SEC). Mataifa mengine ya Magharibi yana viungo vya udhibiti vwa kulinganishwa na hiki. Kanuni hizi husisitizwa na kutekelezwa na 'China Securities Regulation Commission' (CSRC), huko Uchina. Huko Singapore, mamlaka ya udhibiti ni 'Monetary Authority of Singapore' (MAS), na huko Hong Kong, ni 'Securities and Futures Commission' (SFC).
 
Ni vigumu sana kuzitaja sheria zote ambazo huathiri biashara. Kwa kweli, sheria hizi zimekuwa nyingi hadi kwamba hakuna mwanasheria yeyote wa biashara anayeweza kujifunza zote, na kulazimisha kampuni kuongeza umaalumu miongoni mwa wanasheria wake. NINi jambo la kawaida kwa wanasheria 5-10 kuhitajika hili kushughulikia aina fulani ya shughuli ya kibiashara, kutokana na jinsi sheria za kuelekeza biashara zilivyo nyingi. Sheria za kibiashara huhusu sheria za ushirika za ujumla , sheria ya ajira na kazi, afya , dhamana, 'M & A' (ambaye anashughulikia mambo ya ununuzi), kodi, 'ERISA'(ERISA Marekani inahusiana na mipango ya faida ya mfanyakazi ), chakula na madawa ya udhibiti , umiliki (hushughulika na 'copyrights', ruhusa, 'Trademarks' na kadhalika), sheria ya mawasiliano ya simu, na zaidi.
 
Nchini Thailand, kwa mfano, ni lazima ''kujiandikisha'' kiasi fulani cha mtaji kwa kila mfanyakazi, na kulipa ada kwa serikali kwa kiwango cha mtaji kilichoandikishwa. Hakuna mahitaji ya kisheria kuthibitisha kuwa mtaji huu kweli hupo, kinachoitajika pekee ni kulipa ada yenyewe.
 
===Umiliki===
Wafanyabiashara mara nyingi huwa na [["umiliki"]] muhimu ambao unahitaji ulinzi dhidi ya washindani hiliili kuzidi kupata faida. Hii inaweza kuhitaji 'patent' au 'copyrights' au utunzaji wa siri za biashara ('trade secrets'). Wafanyabiashara wengi wana logo na mbinu ambazo zinaweza kuwafaidi katika 'trademarking'. Kwa sababu ya asili ya haki miliki, wanahitaji ulinzi wa wabiasharabiashara katika kila mamlaka ambamo wana wasiwasi kuhusu washindani. Nchi nyingi ni watiazimetia saini wa [[mikataba]] ya kimataifa kuhusu haki miliki, na kwa hivyo makampuni yaliyosajiliwa katika nchi hizihizo chini ya sheria za kitaifa zimefungwa na mikataba hiihiyo pia.
 
===Mipango ya Kutoka===
Biashara zinaweza kununuliwa na kuuzwa. Mara nyingi wamiliki biashara urejelea mpango wao wa kutoka kwenye biashara kama "mpango wa kutoka" ('exit plan')." Mipango hii mingi ni pamoja na [['IPO']] , [['MBO']] na [[kuungana]] na biashara zinginenyingine. Biashara ni mara nyingi hazifutiliwi mbali, kwani kufanya hivyo mara nyingi huwa na hasara kubwa.
 
==Angalia Pia==
{{Lango|Uchumi}}
 
==Marejeo==
* [http://stats.oecd.org/Index.aspx?DataSetCode=SDBS_BDI OECD Takwimu za biashara]
* [http://business.gov/ US Small Business Resources]
{{Lango|Uchumi}}
 
[[Jamii:Biashara]]
[[Jamii:Uchumi]]