Umeme wa upepo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[File:WorldWindPower.png|thumb|250px|right|UWezoUwezo wa miradi ya umeme wa upepo iliyoanzishwa duniani kati ya 1996 na 2008]]
[[File:Fentonwindpark1.jpg|thumb|Mradi wa Umeme wa Upepo Fenton Wind Farm katika [[Minnesota]] ([[Marekani]]).]]
'''Umeme wa upepo''' ni [[umeme]] unaopatikana kwa njia ya mitambo inayotumia nguvu ya [[upepo]] na kuibadilisha kuwa umeme. <ref>{{Cite web |url = http://news.bbc.co.uk/cbbcnews/hi/newsid_4610000/newsid_4614700/4614743.stm | publisher = BBC News | accessdate=2010-03-10 | date = 2007-12-18| title = Wind power in the UK }}</ref>
Mstari 6:
Nguvu ya upepo kiasili ni nishati inayopatikana ndani ya [[upepo]] ambayo mwendo wa masi za hewa katika [[angahewa]] ya dunia. Mwendo huu unaendeshwa na joto la jua na tofauti zilizopo katika halijoto kwenye sehemu mbalimbali ya dunia.
 
Nguvu hii ya upepo ulitumiwailitumiwa kwa manufaa ya kibinadamu tangu miaka mingi sana, hasa kwa njia ya usafiri kwenye maji kwa kutumia [[tanga]] za kusukuma [[jahazi]] na pia kwa kuendesha [[vinu vya upepo]] vya kusagia nafaka.
 
Tangu mwisho wa [[karne ya 20]] nguvu ya upepo inatumiwa zaidi na zaidi kwa kuzalisha umeme wa upepo. Hapo mwendo wa hewa unatumiwa kuzungusha tabo ([[rafadha]] - ''[[:en:turbine]]''). Mitambo hii ya kisasa zinafanainafanana kiasi na [[kinu cha upepo]] cha karne zilizopita ila tu mzunguko wa mikono yake hauzungushi mashine ya kusagia bali rafadha inayotengeneza umeme.
 
==Umeme wa upepo kama nishati mbadala dhidi ya kupanda kwa halijoto duniani==
Wasiwasi kuhusu kuongezeka kwa [[gesijoto]] duniani na madhara ya [[kupanda kwa halijoto duniani]] zilileta mikataba ya kimataifa kama [[Kongamano la Mfumo wa UM kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi]] na [[Mapatano ya Paris kuhusu Tabianchi]] na hapo matumizi ya nguvu ya umeme yamepata maendeleo makubwa sana. Umeme wa upepo unaongezeka kuwa muhimu kama [[nishati mbadala]] laya kupunguza matumizi ya [[fueli kisukuu]].
 
==Uenezi==
Mwisho wa [[mwaka]] [[2009]] takriban [[asilimia]] 1.3 ya mahitaji ya umeme [[duniani]] ilipatikanayalipatikana kwa umeme wa upepo.<ref>World Wind Energy Association (2008). [http://www.wwindea.org/home/images/stories/pr_statistics2007_210208_red.pdf Wind turbines generate more than 1 % of the global electricity]</ref> Lakini nchi kadhaa zilizotangulia kuendesha [[teknolojia]] hii zinapata kiasi kikubwa zaidi. Nchi inayopata kiwango kikubwa cha mahitaji yake ya umeme ni [[Denmark]] yenye asilimia 20 za umeme wa upepo. <ref name="Glob"> [http://www.gwec.net/uploads/media/07-02_PR_Global_Statistics_2006.pdf Global wind energy markets continue to boom – 2006 another record year] (PDF).</ref><ref>Global Wind Energy Council (2009). [http://www.gwec.net/fileadmin/documents/Publications/Global%20Wind%202008%20Report.pdf Global Wind 2008 Report], p. 9, accessed on 4 Januari 2010.</ref> Katika [[Hispania]] ni 11% na 9% katika [[Eire]]. <ref>[[International Energy Agency]] (2009). [http://www.ieawind.org/AnnualReports_PDF/2008/2008%20AR_small.pdf IEA Wind Energy: Annual Report 2008] p. 9.</ref>
 
Mnamo mwaka 2015 nchi ya [[Denmark]] ilizalisha asilimia 40% ya umeme wake kwa njia ya umeme wa upepo<ref>[http://www.euractiv.com/section/climate-environment/news/denmark-breaks-its-own-world-record-in-wind-energy/ Denmark breaks its own world record in wind energy], tovuti ya Euractiv.com (15 Januari 2016). Iliangaliwa juni 2017.</ref>. Angalau nchi 83 duniani zinaingiza umeme kutokana na matumizi ya nguvu ya upepo katika mitandao ya umeme ya kitaifa.<ref>[http://germanwatch.org/klima/gsr2011.pdf "Renewables 2011: Global Status Report"] tovuti ya Germanwatch.org(PDF). uk. 11</ref> Mnamo mwaka 2014 umeme wa upepo ulifikia tayari asilimia 4 za umeme wote uliotumiwa duniani. Katika [[Umoja wa Ulaya]] kiasi hiki kilifijia tayari asilimia 11.4 <ref>[http://www.ewea.org/fileadmin/files/library/publications/statistics/EWEA-Annual-Statistics-2015.pdf Wind in power 2015 European statistics February 2016], tovuti ya EWEA EUROPEAN WIND ENERGY ASSOCIATION</ref>
Mstari 27:
Kwa hiyo hata kama uwezo wa upepo wa kuzalisha umeme ni mkubwa si rahisi kufikia uzalishaji thabiti na hii inahitaji vyanzo vingine vya umeme vinavyoweza kuongeza uzalisaji wakati upepo ni hafifu. Hapo ni hasa vituo vya umeme vinavyoendeshea kwa gesi ambavyo vinaweza kuwaka haraka vikishirikiana na vituo vya umeme wa upepo.
 
Kwa jumla mabadiliko haya yanaweza kusawazishwa kama mtandao wa umeme wa nchi una uwezo wa kusafirisha viwango vikubwa vya umeme kati ya pande zote za eneo kubwa kwa sababu hapa tofauti za upepo dhaifu na mweyewenye nguvu zinaweza kusaidiana kufikia wastani yawa kawaida. Lakini hadi sasa mitandao ya nchi nyingi kubwa bado hazitoshi kwa mahitaji haya.
 
Katika nchi kadhaa kulikuwa na upinzani wa wananchi dhidi ya ujenzi wa vituo vinavyoweza kuwa na minara mamia ya rafadha za upepo kwa sababu zinabadilisha sana uso wa eneo ambao watu waazoea.