Orange Democratic Movement : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 17:
 
==Uchaguzi wa 2007==
Katika uchaguzi wa 2007 ODM ilifaulu vizuri upande wa viti vya [[bunge la Kenya]]. Ilipata karibu nusu ya wabunge wote yaani takriban101 100kati ya 120.
 
Katika uchaguzi wa rais Raila Odinga alitangaziwa kuwa ameshindwa na rais Kibaki kwa kura 230,000. Lakini watazamaji wengi waliona kasoro katika hesabu ya kura na ODM ilidai kuwa Odinga ni mshindi halali.