Kenya African National Union : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 20:
Wakati huu wa upinzani baada ya 2002 KANU iliona mafarakano mengi. Chama kilichobaki kiliongozwa na Uhuru Kenyatta lakini alipingwa na kundi chini ya [[Nicolas Biwott]] kilichojitenga kwa muda. 2006 wakajiunga na serikali ya umoja wa kitaifa cha Kibaki.
 
Kabla ya uchaguzi wa 2007 KANU iliunga mkono maungano ya [[Party of National Unity (Kenya)|Party of National Unity]] ya rais Kibaki ikimpigania Kibaki kama rais lakini kuwa na wagombea wake wa pekee. Kenyatta alitangaza ya kwamba KANU ilirudishaitadai cheo cha wabungemakamu 5wa turais.
 
==Uchaguzi wa 2007==
Katika uchaguzi wa 2007 KANU ilishika viti 11 bungeni.<ref>http://www.eastandard.net/news/?id=1143980004&cid=159 as mentiones in Standard article on ODM-K of 6-01-2001</ref> Wapinzani wa Kenyatta ndani ya chama walidhoofika baada ya Biwott kutofaulu kutetea nafasi yake bungeni.
== Viungo vya Nje ==