Kikingaradi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 13:
[[File:Statue auf dem Bayerischen Landtag 3427.JPG|thumb|right|Nyaya za kikingaradi kwenye sanamu ya mapambo iliyopo juu ya bunge la Bavaria]]
[[File:Pointed Lightning Rod.jpg|thumb|right|Kikingaradi juu ya paa ya nyumba]]
Mnamo katikati ya karne ya 18 wataalamu katika Ulaya na Marekani walianza kuelewa tabia za umeme. Walianza kuhisi ya kwamba uhusiano ulikuwepo baina ya umeme na radi. Mnamo 1750 [[Benjamin Franklin]] huko [[Pennsylvania]], Marekani<ref>wakati ule ilikuwa bado koloni ya Uingereza hadi vita ya uhuru tangu 1776</ref> aliandika juu ya radi kuwa umeme akapendekeza kuithebitishakuithibitisha kwa kupandisha [[kishada]] wakati wa ngurumo na kuona umeme kwenye kamba yake ya kushikilia. Kutokana na majaribio haya alibuni pia kikingaradi kilichowekwa mara ya kwanza kwenye nyumba yake mwenyewe, halafu mwaka 1752 kwenye ikulu ya Pennsylvania.
 
Mwnazoni kikingaradi kilienea polepole. Sababu muhimu ilikuwa hofu ya kuwa mtambo ungevuta radi kwake na hivyo kuongeza hatari badala ya kuipunguza.
 
Baada ya kuonekana kinasaidia kweli uenezaji wake umeendelea. Siku hizi kuna nchi nyingi zenye masharti ya kuweka kikingaradi kwenye majengo maalumu hasa kama jengo fulani ni jengo kubwa katika mazingira yake, limeinuliwa juu ya kimo cha miti au majengo jirani au kama liko juu ya mlima.
 
==Viungo vya Nje==