Moshi William : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
matini koze
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Moshi William.jpg|thumb|300px|Mwanamuziki Moshi William wakati wa uhai wake. Picha kwa hisani ya [http://issamichuzi.blogspot.com/ Muhiddin Issa Michuzi]. ]]
'''TX Moshi William''' ([[jina]] halisi: '''Shaban Ally Mhoja Kishiwa''') alikuwa mmoja wa [[wanamuziki]] mahiri wa [[muziki wa dansi]] nchini [[Tanzania]]. Alizaliwa [[Tanga]] mwaka [[1958]] na kufariki [[dunia]] [[29 Machi]] [[2006]] na kuacha [[mke]] mmoja na [[watoto]] wanne na aliweza kurekodi [[albamu]] 13.
 
'''TX Moshi William ('''jina halisi '''Shaban Ally Mhoja Kishiwa''') alikuwa mmoja wa wanamuziki mahiri wa [[muziki wa dansi]] nchini [[Tanzania]]. Alizaliwa [[Tanga]] mwaka [[1958]] na kufariki dunia [[29 Machi]] [[2006]] na kuacha mke mmoja na watoto wanne na aliweza kurekodi albamu 13. Kwa miaka mitatu mfululizo, Moshi William alitunukiwa tuzo ya kitaifa ya utunzi bora (2003, 2004, 2005.)
 
Moshi William alijiunga na [[bendi]] kongwe nchini Tanzania [[Juwata Jazz Band]] mwaka [[1982]] akitokea Bendi ya Polisi Jazz,,mwanamziki. Mwanamziki huyo alijipatia umarufu mkubwa kwa kutunga [[nyimbo]] zilizokuazilizokuWa na mafunzo katika [[jamii]]: mfano wa nyimbo kama ashibae, mwaka wa watoto, msafiri kakiri, Asha mwanaseifu, kaza moyo, Ajuza, Ndoa ndoano, Mwanamkiwa, Ajari, Nyongo mkaanamkaa na ini, Isihaka kibene, Harusi ya kibene, Piga ua taraka utatoa na nyimbo zinginenyingine nyingi. ukipita

Ukipita mitaa ya Keko machungwaMachungwa [[Jiji|jijini]] [[Dar es salaamSalaam]] sehemu alikokuwa anaishi mwanamzikimwanamUziki huyu lazima utasikia [[moja]] ya nyimbo zake zikipigwa katika club[[klabu]] mbalimbali au kwenye [[jumba|majumba]] ya wenyeji. piaPia katika [[miji]] mbalimbali ya [[Afrika Mashariki]] na [[Afrika ya Kati|kati]] mwanamzikimwanamUziki huyu alifananishwa sana na mwanamzikimwanamUziki [[Madilu System]] wa [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]] kutokana na stairistaiLi yake ya [[uimbaji]] pamoja na [[kijana]] aliyekuwa akimuigiza [[sauti]] yake Gasper Damian Danken katika Bendi ya [[Msondo Ngoma]] na mtoto wake Hassan Moshi William. amaAma hakika [[kifo]] cha mwanamziki Moshi William nikiliacha pengo kubwa sana katika Bendi ya Msondo Ngoma ambalo mpaka sasa halijaweza kuzibika.
 
{{DEFAULTSORT:Moshi William}}