Kilomita kwa saa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Speedo angle.jpg|thumb|250px|Mita hii katika gari ni tayari kuonyesha kasi kwa km/h]]
'''Km/h''' ni ([[kifupi]] cha "'''Kilomita kwa saa'''") ni [[kipimo]] cha [[kasi]]. '''Km''' pekeepeke yake ni kifupi cha [[kilomita]] na '''h''' ni kifupi cha [[saa]] ''(kutoka [[Kilat.Kilatini]] hora > [[kiing.Kiingereza]] hour)''.
 
[[Kitu]] chenye kasi ya km/h 1 (kilomita [[moja]] kwa saa) kinatembea kilomita moja katika [[muda]] wa saa moja. [[Mwanadamu]] kwa mwendo wa [[wastani]] anatembea kwa km/h 5 yaani katika muda wa saa moja anatembea kilomita mojatano. Kwa kutumia [[baisikeli]] kwa kasi ya wastani mtu hutembeahusafiri kwa km/h 15 hadi km/h 20. [[Magari]] yanaruhusiwa kutembeakusafiri kwa 50km50 km/h mjini[[Mji|mijini]] na 80 hadi km/h 100 nje ya miji.
 
Kipimo cha [[SI]] kwa kasi ni [[m/s]] yaani [[mita]] kwa [[sekunde]] lakini hakitumiki sana kwa sababu katika [[maisha]] ya kila siku watu hawataki kujua mwendo wao kwa kila sekunde.
 
== Viungo vya Njenje ==
* [http://flauna.org/speed/ The converter for speed units: km/h, mph, knots, etc.]
* [http://www.convert-me.com/en/convert/speed A conversion calculator for Units of Speed]