Tofauti kati ya marekesbisho "Dolar ya Marekani"

115 bytes added ,  miaka 2 iliyopita
no edit summary
(Benknoti)
[[Picha:USCurrency Federal Reserve.jpg|thumb|right|250px|Noti za Dola ya Marekani.]]
'''Dola ya Marekani''' ('''US-Dollar''', [[kifupi]] '''USD''') ni [[pesa]] halali ya [[Marekani]]. [[Alama]] yake ni USD au mara nyingi alama ya [[dola (pesa)|dola]] tu '''$'''.
 
[[Dolar (pesa)|Dola]] ya Marekani inapatikana kwa [[benknoti|noti]] za dola 1, 2, 5, 10, 20, 50 na 100. Kuna pia [[sarafu]] ya dola 1.
 
Dola moja ina [[senti]] 100. Senti huitwa pia "penny" nchini Marekani. Kuna sarafu za [[nusu]] dola (half dollar, senti 50), [[robo]] dola (quarter, senti 25) na sarafu za senti 10 (dime), 5 (nickel) na 1 (penny).
Usawa huu na thamani ya dhahabu ulifutwa. Leo hii dola ya Marekani ni pesa ya kuiamini serikali kama pesa zote. Maana yake watumiaji husadiki ya kwamba serikali haitachapisha dola kushinda uwezo wa [[uchumi]] na thamani ya [[bidhaa]] zilizopo nchini.
 
Tangu mwisho wa [[Vita Kuu ya Pili ya Dunia]] ([[1945]]) dola ya Marekani imekuwa pesa kuu [[duniani]] na sehemu kubwa ya [[biashara]] ya kimataifa hukadiriwa kwa dola hizo. Lakini tangu kupatikana kwa [[Euro]] mwaka [[1999]] umuhimu wa dola ya Marekani imeanza kupungua polepole. Hata hivyo nchi mbalimbali zimeachana na sarafu zao na kuamua kutumia dola ya Marekani tu, k.mf. [[El Salvador]].
 
== Viungo vya nje ==
{{Commonscat|Money of the United States|Dolar ya Marekani}}
* [http://www.bis-ans-ende-der-welt.net/USA-B-En.htm Dolar ya Marekani (Benknoti na historia)] {{en}} {{de}} {{fr}}
 
{{mbegu-uchumi}}
{{Commonscat|Money of the United States|Dolar ya Marekani}}
 
[[Jamii:Marekani]]
[[Jamii:Pesa]]