Karata : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Theodoor Rombouts - Joueurs de cartes.jpg|thumb|right|''Wachezaji wa Karata'', [[mchoro]] wa [[Theodoor Rombouts]] ([[karne ya 17]]).]]
[[Picha:Agnes Bernauer Tesseract Mobile.jpg|thumb|Karata za kimagharibi jinsi inavyotumiwa kwenye [[kompyuta]].]]
[[Picha:Karuta kana.jpg|thumb|Karata za Kijapani.]]
'''Karata''' (kutoka jina la [[Kireno]] ''carta'' ambalo kwa [[Kilatini]] lilimaanisha "[[karatasi]]"; kwa [[Kiingereza]] "cards") ni [[kadi]] au kipande cha karatasi yenye [[namba]], [[alama]] au [[picha]] ikiwa sehemu ya [[idadi]] mfululizo za karata.

Hivyo neno linataja pia [[mchezo]] ambao huchezwa na [[watu]] mbalimbali kwa lengo la kushindana ili kujifurahisha au kama mchezo wa [[kamari]] kwa kupata [[fedha]] kutoka kwa wenzao.
 
Karata hupendwa na watu wa [[jamii]] mbalimbali [[duniani]]. Michezo hii huwa na [[mashabiki]], si kama mashabiki wa [[mpira wa miguu]].
Line 8 ⟶ 10:
Kuna aina nyingi za karata na za michezo yao. Aina ya karata iliyoenea katika nchi mblimali kutoka Ulaya huwa na [[kadi]] 52 zenye [[Pambo|mapambo]], [[alama]] na [[tarakimu]] zinazotumika kucheza [[arubastini]], [[wahedistini]], [[jore (mchezo)|jore]], [[chanisi]], [[mapiku]] n.k.
 
Katika [[utamaduni]] tofauti, k.mf. [[Italia]], karata ziko 40 au [[idadi]] nyingine.
 
{{mbegu-michezo}}