Ubuyu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Removing Ubuyu.jpg, it has been deleted from Commons by Christian Ferrer because: Copyright violation, see c:Commons:Licensing -.
No edit summary
Mstari 1:
{{vyanzo}}
 
'''Ubuyu''' ni [[ungaunga]] wa [[rangi]] ya [[maziwa]] wa [[matunda]] ya [[mbuyu]] ukiwa na [[mbegu]] zake au bila [[mbegu]].kwa muda wa miaka kadhaa sasa Ubuyu umekuwa ni moja ya mmea wenye faida nyingi katika mwaili wa binadamu, pia hata unga wake unatajwa kuwa ni moja ya chanzo kikubwa kinachosaidia mwili wa binadamu usipatwe na maradhi.Unga wa ubuyu unaelezwa kuwa na vitamini na madini mengi kuliko matunda mengine yoyote .
 
== Faida za unga wa ubuyu ==
1. Inaelezwa kuwa unga wa ubuyu una [[vitamini C]] nyingi mara 6 zaidi ya ile inayopatikana katika machungwa.
 
2. Ubuyu una kiwango kingi cha [[madini]] ya [[Kalshiamu]] (Calcium) mara 2 zaidi ya maziwa ya ng’ombe, pia madini mengine yapatikanayo katika ubuyu ni pamoja na madini ya Chuma, Magnesiamu na Potasiamu ambayo ni mara 6 zaidi ya ile potasiamu ipatikanayo katika ndizi.
 
3. Husaidia kujenga [[neva za fahamu]] mwilini
 
4. Ina [[virutubisho]] vya kulinda [[mwili]]
 
5. Ubuyu una [[vitamini B3]] na [[B2]] ambayo ni mhimu katika kuondoa [[sumu]] mwilini na [[umeng’enyaji]] wa [[madini ya chuma]], kimsingi vyakula vyenye afya zaidi kwa ajili ya mwili ya binadamu huwa pia huwa na vitamin B2.
 
6. Unaongeza kinga ya mwili sababu ya kuwa na kiasi kingi cha [[vitamini C]]
 
7. Huongeza nuru ya macho
Mstari 20:
8. Husaidia kuzuia kuharisha na kutapika
 
9. Ina magnesiam ambayo husaidia kujenga [[mifupa]] na [[meno]]
 
10. Husaidia wenye presha ya kushuka na wenye matatizo ya figo
 
Hakikisha kuwa kila siku unapata glasi moja ya juisi ya ubuyu hasa usiku na baada ya wiki kadhaa utaona matokeo yake mwilini. Na ili upate faida za juisi ya ubuyu, zinazoelezwa hapa, lazima upate ule ubuyu halisi (mweupe) usiochanganywa na kitu kingine cha kuongeza ladha au rangi.