Wagikuyu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 14:
==== Taifa ====
Wakikuyu walikuwa waliishi kama watu huru na walitawala eneo waliloishi kati ya Mlima Kenya, [[Milima Aberdare|Safu za Nyandarua]] ([[Kikuyu (lugha)|Kik]]: ''Mĩtambũrũko ya Nyandarwa''), [[Vilima vya ngong|Vilima vya Ngong']] ([[Kikuyu (lugha)|Kik]]: ''Kĩrĩma kĩa Mbirũirũ'') na [[Mlima Ol Donyo Sabuk]] ([[Kikuyu (lugha)|Kik]]: ''Kĩrĩma kĩa Njahĩ'')<ref>{{Citation|title=Mukurwe wa Nyagathanga – Gikuyu Eden?|date=2011-05-21|url=https://mukuyu.wordpress.com/2011/05/21/mukurwe-wa-nyagathanga/|work=Gīkūyū Centre for Cultural Studies|language=en-US|access-date=2018-08-01}}</ref>. Hawakufanya biashara ya [[Utumwa|watumwa]] na hawakukuwa na utumwa katika jamii. Hata hivyo, [[Usimilishaji|walisimilisha]] kabila la [[Dorobo]] ambao walikuwa wenyeji katika baadhi ya misitu kwa njia ya ndoa za kabila tofauti<ref name=":0">{{Cite book|url=https://www.worldcat.org/oclc/990964726|title=WITH A PREHISTORIC PEOPLE, THE AKIKUYU OF BRITISH EAST AFRICA : being some account of the method... of life and mode of thought found existent amongst.|last=SCORESBY.|first=ROUTLEDGE, W|date=2016|publisher=FORGOTTEN BOOKS|isbn=1333670974|location=[S.l.]|oclc=990964726}}</ref>. Kwa njia hiyo, pamoja na kuchukua milki ya misitu, waliweza kupanua mipaka kufikia na zaidi ya eneo lliokuwa [[Mkoa wa Kati (Kenya)|Mkoa wa Kati]]. Walikuwa wakulima na wafanyabiashara. Walifanya biashara na makabila jirani; [[Wamasai]] na Wakamba. Pia, walihusika katika utengenezaji chuma na kamba<ref name=":0" />.
 
==== Utawala ====
Vijana, waume na wake, [[Tahiri|walitahiriwa]]. Kikundi cha watahiriwa wa pamoja kiliitwa [[riika]] ([[Kikuyu (lugha)|kik]]: ''riika'')<ref name=":2">{{Cite web|url=https://www.encyclopedia.com/social-sciences-and-law/anthropology-and-archaeology/people/kikuyu|title=Kikuyu {{!}} Encyclopedia.com|language=en|work=www.encyclopedia.com|accessdate=2018-08-04}}</ref>. Marika kadhaa ya waume yalitengeneza [[rejimenti]]. Mviga wa kutahiriwa ulifanywa kwa muda wa miaka 9 na rejimenti na jeshi kuundwa na marika hayo. Kwa miaka minne na nusu au misimu 9, mviga wa kutahiriwa haukufanywa. Rejimenti kadhaa ziliunda kizazi ambacho kingetawala kwa takriban miaka 35. Kizazi cha mwisho kutawala kilikuwa ''Riika rĩa Mwangi'', ambacho kilipatiwa mamlaka na ''Riika rĩa Maina'' mwaka 1898 katika sherehe ya kubadilisha mamlaka inayoitwa ''Ituĩka''<ref>{{Cite book|url=https://www.worldcat.org/oclc/1094498|title=A history of the Kikuyu, 1500-1900.|last=Godfrey,|first=Muriuki,|date=1974|publisher=Oxford University Press|isbn=0195723147|location=Nairobi,|oclc=1094498}}</ref>. Hakuna kizazi kingine kimetawala kwani wakoloni walikatiza mfumo wa kutahiri na kutoa mifumo ya utawala katika jamii ya Wakikuyu<ref name=":1" /><ref name=":2" />.
 
Baraza la kitaifa la wazee halikutekeleza mamlaka yoyote ya kisiasa, ila kazi yake kuu ilikuwa kutoa hukumu, kutangaza vita na kuwa ishara ya ummoja wa taifa na utamaduni wake. Mamlaka yalikuwa yamegatuliwa katika koo ndogo ([[Kikuyu (lugha)|kik]]: ''mbarĩ''), ambazo ziliongozwa na mwanamme mzee zaidi<ref name=":1" /><ref name=":2" />.
 
==== Jamii ====
Line 26 ⟶ 31:
 
Katika [[kisasili]] cha Wakikuyu, Mungu alimwumba binadamu, jina lake Gikuyu. Alimpeleka juu ya Mlima Kenya na kumwonyesha nchi. Alimwambia kuwa nchi yote kati ya milima minne; Milima Nyandarua, Milima Ngong', Mlima Kenya na Mlima Ol Donyo Sabuk, ni yake na vizazi vyake. Pia, alipatiwa maagizo kuwa atakapopata shida yoyote, amwite Mungu kwa kufanya sadaka chini ya mti wa mtini akitazama Mlima Kenya na Mungu angemsaidia<ref name=":1">{{Cite book|url=https://www.worldcat.org/oclc/933580405|title=Facing Mount Kenya : the traditional life of the Gikuyu|last=Jomo.|first=Kenyatta,|date=2015|publisher=Kenway Publications|isbn=0435902199|location=Nairobi|oclc=933580405}}</ref>. Iliaminika kuwa Mungu alipowatembelea viumbe wake, aliishi katika Milima hiyo minne. Mojawapo ya sababu ya kuwepo na radi, ilikuwa kwamba Mungu alikuwa anahama kati ya makazi yake manne<ref name=":1" />.
 
=== 1889-1963 ===
Maisha na utamaduni wa ulivurugwa wakati [[Ukoloni|wakoloni]] walifika wilaya ya kale ya Kabete (leo, [[Kaunti ya Kiambu|Kiambu]])<ref name=":2" />. Kabla ya wazungu kufika, nabii Mugo wa Kibiru alikuwa ametabiri kuwa "nyoka wa chuma angetoka majini na kufika katika nchi yao na vipepeo weupe". Aliwaambia kuwa, wageni wangefika katika nchi yao. Ilikuwa jukumu la wenyeji kuwatunza na kuwakaribisha. Wenyeji walifanya vivyo hivyo kwa matumaini kuwa reli ingeendelea na kuwaacha<ref name=":1" />. Hata hivyo, wakoloni waliwabughudhi wenyeji na kuwakosea hadhi. Kwa sababu ya usaliti huu, Wakikuyu wa kusini, wakiongozwa na Chifu Waiyaki wa Hinga, walikaidi mkataba waliokuwa wameweka na [[Frederick Lugard]] wa [[Kampuni ya Kifalme ya Kiingereza kwa Afrika ya Mashariki|IBEAC]]. [[Ngome]] ya Frederick ilichomwa na misafara iliyokuwa inaelekea kaskazini kuvamiwa. Wakikuyu walikataa kuwauzia wakoloni bidhaa<ref name=":1" />. Miaka miwili baadaye, Waiyaki wa Hinga alikamatwa na kuuawa.
 
Utawala wa moja kwa moja ulifanywa wakati IBEAC ilifilisika na serikali ya Uingereza kutengeneza [[Afrika ya Mashariki ya Kiingereza|Afrika Mashariki ya Kiingereza]]. Wakikuyu walifukuzwa kutoka mashamba yao na [[Setla|masetla]] kutwaliwa ardhi hiyo iliyokuwa na hali nzuri ya ukulima wa kahawa na majani chai. Waliipinga sera hii na kuwauwa wenyeji wale waliunga mkono na kuwasaidia wakoloni<ref>{{Cite book|url=http://archive.org/details/howibecamekingof00boyeiala|title=How I became King . . . of the Wa-Kikuyu|last=Boyes|first=John|date=190-?]|publisher=[Nairobi : W. Boyd & Co.|others=University of California Libraries}}</ref>. Baada ya kushindwa kuwakandamiza, wakoloni walitumia polisi na jeshi la wamasai, ambao mara nyingi hawakusikizana na Wakikuyu, kutuliza hali kwa njia ya vita<ref name=":0" /><ref name=":1" />. Wakikuyu hawakufanikiwa na hivyo wakaanza kutumia njia ya kisiasa kupinga ukoloni.
 
Wakikuyu, pamoja na Waafrika kutoka makabila mengine, walitumiwa kama askari wasaidizi ([[Kiingereza|ing]]: ''Carrier Corps'') katika [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]] kwa kuwa walikuwa wamezoea mandhari ya nchi. Walipata tajriba na wengi wao walijiunga na Muungano wa Wakikuyu Wachanga ([[Kiingereza|ing]]: ''Young Kikuyu Association''), kiongozi wao akiwa [[Harry Thuku]] mwaka 1921. Muungano huo uliwapa uzalendo na kuwatia moyo kuiasi serikali ya Koloni ya Kenya.
 
Ili kulinda maslahi yao, masetla waliweka sera ya kukataza wenyeji kukuza kahawa, kutoza [[ushuru wa boma]] na kupunguza ukubwa wa ardhi iliyopewa kwa wasiokuwa na ardhi<ref>"[https://www.codesria.org/IMG/pdf/t_tarus_isaac_kipsang.pdf?6537/c068dc2146c74917c148661f587444012a12f0cb A HISTORY OF THE DIRECT TAXATION OF THE AFRICAN PEOPLE OF KENYA, 1895-1973]", pdf, iliwekwa mnamo 04/08/2018</ref>. Sera hizo zilifanya wengi wahamie mijini.
 
Wanajeshi wakikuyu wa [[King's African Rifles]] waliorudi nyumbani kutoka [[Vita Kuu ya Pili ya Dunia]] (1939-1945) walikuwa wametiwa motisha kupigania uhuru. Wakati huo, mwaka 1944, Harry Thuku alikuwa ameanzisha chama cha kisiasa cha kitaifa, Kenya Afican Study Union (KASU) ambacho kiliendelea kuwa Kenya African Union (KAU). [[Eliud Mathu]], mwanachama wa KAU, alikuwa Mwafrika wa kwanza katika [[Baraza la Kutunga Sheria]] (LegCo). [[Jomo Kenyatta]] alifanywa mwenyekiti wa KAU mwaka 1947.
[[Picha:DEDAN KIMATHI.JPG|thumb|Sanamu ya ukumbusho ya Dedan Kimathi, katika barabara ya Kimathi, Nairobi]]
 
Kufikia mwaka 1952, juhudi za KAU kutaka Waafrika watendewe haki kuhusiana na ardhi, hazikuwa zimefaulu. Kwa hivyo, chini ya uongozi wa [[Dedan Kimathi|Jemedari Dedan Kimathi]], waasi wa [[Maumau|Mau Mau]] walianza vita dhidi ya wakoloni Waingereza na wasaidizi wao wenyeji. Dedan Kimathi alikamatwa mwaka 1956, kuashiria kushindwa kwa Mau Mau.
 
Mwaka 1961, Jomo Kenyatta aliachiliwa huru na kuwa rais wa kwanza wa Jamhuri ya Kenya mwaka 1964. Tangu mwaka huo, Wakikuyu wametoa marais watatu wa Kenya, ikiwemo [[Mwai Kibaki|Emilio Stanley Mwai Kibaki]] na [[Uhuru Muigai Kenyatta]].
 
== Utamaduni ==
 
=== Lugha ===
Lugha ya Wakikuyu ni [[Kikuyu (lugha)|Kikuyu]]. Ni lugha ya kibantu inayokaribiana na lugha za jamii za Mlima Kenya.
 
=== Vyakula ===
Vyakula vya Wakikuyu ni kama vile, [[githeri]], mukimo (vyakula vilivyopondwa), mutura (matumbo yaliyojazwa nyama na damu, kisha kuchomwa), uji, njahi, sukumawiki na [[mchicha]].
 
== Wakikuyu mashuhuri ==