James Cook : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|ca}} (4) using AWB (10903)
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Captain-James-Cook.jpg|alt=Captain Cook|thumb|Captain Cook]][[Picha:captainjamescookportrait.jpg|thumb|James Cook mnamo 1775 (picha na [[Nathaniel Dance]]]]
'''James Cook''' (''tamka: jems kuk''; * [[Uingereza]], [[27 Oktoba]] [[1728]] [[UingerezaHawaiʻi]], [[14 Februari]] [[1779]]) alikuwa [[Hawaiʻinahodha]]), alikuwa nahodha[[mpelelezi]] na mpelelezi[[mchoraji]] wa [[ramani]] [[Mwingereza]] katika [[karne ya 18]].
 
Amejulikana hasa kutokana [[safari]] [[tatu]] katika [[Bahari ya Pasifiki]] na taarifa zake juu ya safari hizi. Cook alitembelea [[visiwa]] vingi visivyojulikana [[Ulaya]] hadi wakati ule akivipima na kuvichora kwakwenye ramani za [[Ulaya]] kwa mara ya kwanza.
 
Alizunguka dunia yote mara mbili. Kati ya maeneo aliyoyaweka kwenye ramani za dunia ni pwani la mashariki ya [[Australia]], visiwa vya [[Hawaii]], [[Newfoundland]] na [[New Zealand]]. Alivuka Mzingo wa [[Antaktiki]] na kupata kuona visiwa vipya na mandhari huko [[Amerika ya Kaskazini]] na [[Pasifiki]] ya [[Kusini]].
 
Yeye ni maarufu kwa kutafuta pwani ya [[mashariki]] ya [[Australia]], kuviona Visiwa vya [[Hawaii]] na ramani ya kwanza ya [[Newfoundland]] na [[New Zealand]]. Ndiyo sababu anaitwa "mtafiti wa Uingereza".
 
Wakati wa safari zake, alitumia muda mwingi juu ya majaribio ya [[sayansi]], na [[ramani]] za maeneo mapya. Pia aliandika [[vitabu]] vingi kuhusu kile alichokiona.
 
Cook aliuawa na wenyeji wa Hawaii alipotembelea kisiwa mara ya tatu.
 
[[Visiwa vya Cook]] hutunza kumbukumbu ya jina lake.
 
{{mbegu-mtu}}
 
{{DEFAULTSORT:Cook, James}}