Tofauti kati ya marekesbisho "Usimilishaji"

6 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
no edit summary
(Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Usimilishaji ni jinsi watu kutoka utamaduni au kabila ndogo hufanywa kuwa na mila na kuzichukua tamaduni za kabila kubwa au inayotawala.Watu waliosimilishwa kik...')
 
'''Usimilishaji''' ni jinsi watu kutoka utamaduni au kabila ndogo hufanywa kuwa na mila na kuzichukua tamaduni za kabila kubwa au inayotawala.Watu waliosimilishwa kikamili hukosa sifa za kuwatofautisha ila tu kimaumbile. Usimilishaji unaweza kufanyika kwa kutumia nguvu au kutumia mambo ya kitamaduni, k.v. ndoa za kabila tofauti<ref>{{Citation|title=Assimilation {{!}} society|url=https://www.britannica.com/topic/assimilation-society|work=Encyclopedia Britannica|language=en|access-date=2018-08-04}}</ref><ref>{{Citation|title=Cultural Assimilation: Meaning and Examples for Better Clarity|url=https://historyplex.com/cultural-assimilation-meaning-examples|work=Historyplex|language=en-US|access-date=2018-08-04}}</ref>.
 
== Mifano ==
285

edits