Wagikuyu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 16:
 
==== Utawala ====
Vijana, waume na wake, [[Tohara|walitahiriwa]]. Kikundi cha watahiriwa wa pamoja kiliitwa [[riikarika]] ([[Kikuyu (lugha)|kik]]: ''riika'')<ref name=":2">{{Cite web|url=https://www.encyclopedia.com/social-sciences-and-law/anthropology-and-archaeology/people/kikuyu|title=Kikuyu {{!}} Encyclopedia.com|language=en|work=www.encyclopedia.com|accessdate=2018-08-04}}</ref>. Marika kadhaa ya waume yalitengeneza [[rejimenti]]. Mviga wa kutahiriwa ulifanywa kwa muda wa miaka 9 na rejimenti na jeshi kuundwa na marika hayo. Kwa miaka minne na nusu au misimu 9, mviga wa kutahiriwa haukufanywa. Rejimenti kadhaa ziliunda kizazi ambacho kingetawala kwa takriban miaka 35. Kizazi cha mwisho kutawala kilikuwa ''Riika rĩa Mwangi'', ambacho kilipatiwa mamlaka na ''Riika rĩa Maina'' mwaka 1898 katika sherehe ya kubadilisha mamlaka inayoitwa ''Ituĩka''<ref>{{Cite book|url=https://www.worldcat.org/oclc/1094498|title=A history of the Kikuyu, 1500-1900.|last=Godfrey,|first=Muriuki,|date=1974|publisher=Oxford University Press|isbn=0195723147|location=Nairobi,|oclc=1094498}}</ref>. Hakuna kizazi kingine kimetawala kwani wakoloni walikatiza mfumo wa kutahiri na kutoa mifumo ya utawala katika jamii ya Wakikuyu<ref name=":1" /><ref name=":2" />.
 
Baraza la kitaifa la wazee halikutekeleza mamlaka yoyote ya kisiasa, ila kazi yake kuu ilikuwa kutoa hukumu, kutangaza vita na kuwa ishara ya ummoja wa taifa na utamaduni wake. Mamlaka yalikuwa yamegatuliwa katika koo ndogo ([[Kikuyu (lugha)|kik]]: ''mbarĩ''), ambazo ziliongozwa na mwanamme mzee zaidi<ref name=":1" /><ref name=":2" />.