Rika : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Rika''' ni kikundi cha watu katika jamii ambao wana umri uliokaribiana na hupitia miviga au hatua za maisha pamoja. Mifumo ya marika ni kawaida katika makabi...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 15:52, 4 Agosti 2018

Rika ni kikundi cha watu katika jamii ambao wana umri uliokaribiana na hupitia miviga au hatua za maisha pamoja. Mifumo ya marika ni kawaida katika makabila ya Afrika Mashariki. Mifumo hii ilitumiwa katika tohara, majeshi na utawala wa mataifa.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rika kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.