Usimilishaji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Usimilishaji''' ni jinsi watu kutoka utamaduni au kabila ndogo hufanywa kuwa na mila na kuzichukua tamaduni za kabila kubwa au inayotawala.Watu waliosimilishwa kikamili hukosa sifa za kuwatofautisha ila tu [[Maumbile|kimaumbile]]. Usimilishaji unaweza kufanyika kwa kutumia nguvu au kutumia mambo ya kitamaduni, k.v. ndoa za kabila tofauti<ref>{{Citation|title=Assimilation {{!}} society|url=https://www.britannica.com/topic/assimilation-society|work=Encyclopedia Britannica|language=en|access-date=2018-08-04}}</ref><ref>{{Citation|title=Cultural Assimilation: Meaning and Examples for Better Clarity|url=https://historyplex.com/cultural-assimilation-meaning-examples|work=Historyplex|language=en-US|access-date=2018-08-04}}</ref>.
 
== Mifano ==
 
=== Usimilishaji wa Wadorobo na Ogiek ===
Wadorobo wanajulikana kuwa watu wa kwanza kuishi Kenya. Waliishi katika [[Bonde la Ufa la Afrika ya Mashariki|Bonde la Ufa]] na kati mwa Kenya. [[Wamasai]], [[Wanandi]],[[Wakipsigis]] na [[Wakikuyu]] walihamia na kupanua mipaka katika maeneo waliyokuwa wakiishi [[Wadorobo]]. Walichukua mila na lugha za makabila makubwa yaliyoishi karibu nao<ref>"[https://www.ogiek.org/indepth/dorobo-people.htm The Dorobo Peoples of Kenya and Tanzania]", iliwekwa mnamo 04/08/2018</ref>.
 
=== Usimilishaji katika koloni za Ufaransa ===
Itikadi ya [[Ufaransa]] kutawala [[koloni]] zake ilikuwa usimilishaji. Watawaliwa walitakiwa kujifunza mila na utamaduni wa Wafaransa. Walipewa uraia wa Ufaransa na haki na majukumu yote ya raia wa Ufaransa bila kujalisha hadhi au rangi. Itikadi hiyo ilikubaliana na nadharia tawala ya Ufaransa, ''Liberté, égalité, fraternité'' (Uhuru, usawa, undugu)<ref>{{Cite journal|last=Idowu|first=H. Oludare|date=1969|title=Assimilation in 19th Century Senegal|url=https://www.persee.fr/doc/cea_0008-0055_1969_num_9_34_3162|journal=Cahiers d’études africaines|language=fr-FR|volume=9|issue=34|pages=194–218|doi=10.3406/cea.1969.3162|issn=0008-0055}}</ref>.
 
== Marejeo ==