Uhamiaji wa binadamu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created by translating the page "Human migration"
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Net_Migration_Rate.svg|right|thumb|Kiwango cha uhamiaji]]
'''Uhamiaji wa binadamu''' ni watu kutoka sehemu moja hadi nyingine kwa nia ya kuanzisha makazi ya kudumu au ya muda katika eneo jipya. Kwa kawaida, watu husafiri masafa marefu, ndani mwa nchi au kutoka nchi moja hadi nyingine. Watu wanaweza kuhama kama watu binafsi, kama familia au katika makundi makubwa.<ref>{{cite web|url=http://migrationsmap.net/#/USA/arrivals|title=Migrations country wise|accessdate=7 June 2014}}. One of the major migration rushes took place in the gold run in 19th century in California, Australia, and Africa.</ref> Mtu anayetoroka [[maafa ya asilia]] au [[Vita ya wenyewe kwa wenyewe|vita vya wenyewe kwa wenyewe]] huitwa [[mkimbizi]] au [[mkimbizi wa ndani kwa ndani]] kama anahamia ndani mwa nchi. Pia, kuna watu ambao hutafuta kimbilio kutokana na kuteswa kwa ajili ya msimamo wa kisiasa au dini.
 
[[Mhamahamaji|Wahamahamaji]] hawachukuliwi kuwa wahamiaji kwa kuwa hawana nia ya kufanya makazi na kuhama kwao ni kwa msimu tu.  Pia, shughuli za watu kusafiri kwa madhumuni ya [[utalii]], usafiri au [[hija]] sio uhamiaji.
 
== Takwimu za uhamiaji ==
Mstari 15:
{{Reflist|30em}}
[[Jamii:Demografia]]
[[Jamii:Elimu jamii]]
[[Jamii:Jamii]]