Uhamiaji wa binadamu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Net_Migration_Rate.svg|right|thumb|Kiwango cha uhamiaji duniani.]]
'''Uhamiaji wa binadamu''' ni mchakato wa [[watu]] kutoka sehemu moja kwenda hadi nyingine kwa nia ya kuanzisha [[makazi]] ya kudumu au ya muda katika eneo jipya. Kwa kawaida, watu husafiri masafa marefu, ndani mwa nchi au kutoka nchi moja hadi nyingine. Watu wanaweza kuhama kama watu binafsi, kama familia au katika makundi makubwa.<ref>{{cite web|url=http://migrationsmap.net/#/USA/arrivals|title=Migrations country wise|accessdate=7 June 2014}}. One of the major migration rushes took place in the gold run in 19th century in California, Australia, and Africa.</ref> Mtu anayetoroka [[maafa ya asilia]] au [[Vita ya wenyewe kwa wenyewe|vita vya wenyewe kwa wenyewe]] huitwa [[mkimbizi]] au [[mkimbizi wa ndani kwa ndani]] kama anahamia ndani mwa nchi. Pia, kuna watu ambao hutafuta kimbilio kutokana na kuteswa kwa ajili ya msimamo wa kisiasa au dini.
 
Watu wanaweza kuhama kama watu binafsi, kama [[familia]] au katika makundi makubwa.<ref>{{cite web|url=http://migrationsmap.net/#/USA/arrivals|title=Migrations country wise|accessdate=7 June 2014}}. One of the major migration rushes took place in the gold run in 19th century in California, Australia, and Africa.</ref>
[[Mhamahamaji|Wahamahamaji]] hawachukuliwi kuwa wahamiaji kwa kuwa hawana nia ya kufanya makazi na kuhama kwao ni kwa msimu tu. Pia, shughuli za watu kusafiri kwa madhumuni ya [[utalii]], usafiri au [[hija]] sio uhamiaji.
 
Mtu anayetoroka [[maafa ya asilia]] au [[vita vya wenyewe kwa wenyewe]] huitwa [[mkimbizi]] au [[mkimbizi wa ndani]] kama anahamia ndani mwa nchi. Pia, kuna watu ambao hutafuta kimbilio kutokana na [[Dhuluma|kuteswa]] kwa ajili ya msimamo wa [[siasa]] au [[dini]].
 
[[Mhamahamaji|Wahamahamaji]] hawachukuliwi kuwa wahamiaji kwa kuwa hawana nia ya kufanya makazi na kuhama kwao ni kwa [[msimu]] tu. Pia, shughuli za watu kusafiri kwa madhumuni ya [[utalii]], usafiri[[upelelezi]] au [[hija]] siosi uhamiaji.
 
== Takwimu za uhamiaji ==
[[Picha:Share_of_Migrants_in_the_world_2015-en.svg|thumb|Sehemu ya wahamiaji katika kila nchi ya ulimwengu katika mwaka 2015.<ref>{{webbrefSV|url=https://data.worldbank.org/indicator/SM.POP.TOTL.ZS|titel=International migrant stock (% of population)|verk=The World Bank Data|hämtdatum=2017-09-29}}</ref>]]
MakadrioMakadirio kadhaa ya [[takwimu]] za uhamiaji katika [[dunia]] yapo.
*[[Benki ya Dunia]] huchapisha takwimu zake katika ''Migration and Remittances Factbook'' kila mwaka tangu mwaka [[2008]].<ref>http://siteresources.worldbank.org/INTLAC/Resources/Factbook2011-Ebook.pdf</ref>
*[[International Organisation for Migration|Shirika la Kimataifa la Uhamiaji]] (IOM) huchapisha ''Ripoti ya Dunia Uhamiaji'' kila mwaka tangu mwaka [[1999]].
*Idara ya Takwimu Ya Umoja wa Mataifa pia huweka [[kanzidata]] ya uhamiaji duniani.<ref>http://esa.un.org/unmigration/wallchart2013.htm</ref>
 
[[BenkiMaendeleo ya Dunia]]hivi huchapisha takwimu zakekaribuni katika ''Migration and Remittances Factbook'' kila mwaka tangu mwaka 2008.<ref>http://siteresources.worldbank.org/INTLAC/Resources/Factbook2011-Ebook.pdf</ref> [[International Organisation for Migration|Shirika la Kimataifa la Uhamiajiutafiti]] (IOM) huchapisha ''Ripoti ya Dunia Uhamiaji ''kila mwaka tangu mwaka 1999. Idara ya Takwimu Ya Umoja wa Mataifa uhamiaji pia huwekakupitia [[kanzidatamtandao]] ya uhamiaji duniani.<ref>http://esa.un.org/unmigration/wallchart2013.htm</ref> Maendeleo ya hivi Karibuni katika utafiti wa uhamiaji kupitia mtandao unawezesha kuelewa vizuri zaidi mwelekeo wa uhamiaji na nia za uhamiaji .<ref>{{Cite journal|last=Oiarzabal|first=P. J.|last2=Reips|first2=U.-D.|year=2012|title=Migration and diaspora in the age of information and communication technologies|journal=Journal of Ethnic and Migration Studies|volume=38|issue=9|pages=1333–1338|doi=10.1080/1369183X.2012.698202}}</ref><ref>Reips, U.-D., & Buffardi, L. (2012). Studying migrants with the help of the Internet: Methods from psychology, Journal of Ethnic and Migration Studies, 38(9), 1405–1424. doi:10.1080/1369183X.2012.698208 http://www.uni-konstanz.de/iscience/reips/pubs/papers/2012ReipsBuffardi_JEMS.pdf</ref>
 
Kiwango kikubwa cha uhamiaji hufanyika katika nchi za kaskazini na nchi za kusini. Wahamiaji wengi kutoka [[nchi zilizoendelea]] huhama kuenda nchi zilizoendelea zaidi na takriban 43[[%]] ya wahamiaji kutoka [[nchi zinazoendelea]] huhama kuenda nchi zingine zinazoendelea.
[[Benki ya Dunia]] huchapisha takwimu zake katika ''Migration and Remittances Factbook'' kila mwaka tangu mwaka 2008.<ref>http://siteresources.worldbank.org/INTLAC/Resources/Factbook2011-Ebook.pdf</ref> [[International Organisation for Migration|Shirika la Kimataifa la Uhamiaji]] (IOM) huchapisha ''Ripoti ya Dunia Uhamiaji ''kila mwaka tangu mwaka 1999. Idara ya Takwimu Ya Umoja wa Mataifa  pia huweka [[kanzidata]] ya uhamiaji duniani.<ref>http://esa.un.org/unmigration/wallchart2013.htm</ref> Maendeleo ya hivi Karibuni katika utafiti wa uhamiaji kupitia mtandao unawezesha kuelewa vizuri zaidi mwelekeo wa uhamiaji na nia za uhamiaji .<ref>{{Cite journal|last=Oiarzabal|first=P. J.|last2=Reips|first2=U.-D.|year=2012|title=Migration and diaspora in the age of information and communication technologies|journal=Journal of Ethnic and Migration Studies|volume=38|issue=9|pages=1333–1338|doi=10.1080/1369183X.2012.698202}}</ref><ref>Reips, U.-D., & Buffardi, L. (2012). Studying migrants with the help of the Internet: Methods from psychology, Journal of Ethnic and Migration Studies, 38(9), 1405–1424. doi:10.1080/1369183X.2012.698208 http://www.uni-konstanz.de/iscience/reips/pubs/papers/2012ReipsBuffardi_JEMS.pdf</ref>
 
Kiwango kikubwa cha uhamiaji hufanyika katika nchi za kaskazini na nchi za kusini. Wahamiaji wengi kutoka nchi zilizoendelea huhama kuenda nchi zilizoendelea zaidi na takriban 43% ya wahamiaji kutoka nchi zinazoendelea huhama kuenda nchi zingine zinazoendelea. [[UNFPA|HazinaMfuko yawa Umoja wa Mataifa kuhusu Idadi ya Watu]] ilitoa ripoti kwamba nchi za kaskazini zilipata ongezeko kubwa zaidi la wahamiaji tangu mwaka [[2000]] ([[milioni]] 32) ikilinganishwa na nchi za Kusini (milioni 25), nchi za kusini zilipata ukuaji wa kiwango kikubwa zaidi. Kati ya mwaka 2000 na mwaka [[2013]] [[wastani]] wa kiwango cha mabadiliko ya idadi ya wahamiaji katika nchi zilizoendelea (2.3%) ilizidi kidogo ile ya nchi zinazoendelea (2.1%).
 
== Marejeo ==
Line 16 ⟶ 25:
[[Jamii:Demografia]]
[[Jamii:Elimu jamii]]
[[Jamii:Jamii]]