Hali ya hatari : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created by translating the page "State of emergency"
 
No edit summary
Mstari 7:
== Sheria kulingana na nchi ==
 
=== MaelezoKenya ===
Mwaka 1952, serikali ya kikoloni ya Kenya, ikiongozwa na [[Evelyn Baring|Bwana Evelyn Baring]], ilitangaza hali ya hatari baada ya waasi wa [[Maumau|Mau Mau]] kuanza vita dhidi ya wazungu na Waafrika waliowaunga mkono. Hali hiyo iliisha mwaka 1960<ref>{{Citation|last=Leander|title=The longest state of emergency in Kenya ends|date=2013-11-07|url=https://www.sahistory.org.za/dated-event/longest-state-emergency-kenya-ends|work=South African History Online|language=en|access-date=2018-08-05}}</ref><ref>{{Cite web|url=https://medium.com/@IanEdgarAplin/state-of-emergency-in-kenya-1952-1960-421ed3c0a87d|title=State of Emergency in Kenya, 1952-1960|author=Ian Edgar Aplin|date=2014-06-12|work=Ian Edgar Aplin|accessdate=2018-08-05}}</ref>.
{{Reflist|30em}}
 
[[Katiba ya Kenya]] inakubali hali ya hatari wakati wa maafa ya asilia, vita, machafuko ya kisiasa au hali nyingine yoyote inayohitaji hali ya hatari itangazwe. Rais atatangaza wiki mbili hali hiyo baada ya kupitishwa kwa azimio na wabunge thuluthi mbili. Kuongeza muda wa hali hiyo kunahitaji azimio lipitishwe na wabunge robo tatu. Hata hivyo, katiba inaruhusu mahakama ya upeo kutupilia mbali azimio na sheria yoyote itakayopitishwa katika hali ya hatari. [[Haki za binadamu nchini Kenya|Haki za binadamu]] hazifai kukiukwa kwa muda ambao hali ya hatari itakuwa<ref>{{Cite web|url=http://www.klrc.go.ke/index.php/constitution-of-kenya/114-chapter-four-the-bill-of-rights/part-4-state-of-emergency/224-58-state-of-emergency|title=58. State of emergency - Kenya Law Reform Commission (KLRC)|language=en-gb|work=www.klrc.go.ke|accessdate=2018-08-05}}</ref>.
 
== Marejeo ==
<references />{{Reflist|30em}}
[[Jamii:Serikali]]